Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sana😂😂😂Magufuli alikuwa na chawa ila hawa chawa wa awamu hii wamezidi jamani.
Waongo hao.Jana nilikuwa naongea na jirani zangu wana ccm wa kutegemewa na chama chao.
Lkn kwa sasa wanasema kabisa kuwa wapo tayari kukipigia kura chama cha upinzani kuliko kuipigia ccm kura kisa Hangaya.
Hawa wanasaka atensheni ya mamaHao wajinga wamekosa kazi za kufanya
Hadi mwijaku na Steve hahaMagufuli alikuwa na chawa ila hawa chawa wa awamu hii wamezidi jamani.
Jirani yako ana kura moja tuu, [emoji1] na anakupima tuu hapo uchaguzi ukifika CCM huwa inakuwa na ajenda moja tuu ya USHINDI.Jana nilikuwa naongea na jirani zangu wana ccm wa kutegemewa na chama chao.
Lkn kwa sasa wanasema kabisa kuwa wapo tayari kukipigia kura chama cha upinzani kuliko kuipigia ccm kura kisa Hangaya.
Hata hivyo,BAVICHA hawapalilii teuzi serikakini!UVCCM na BAVICHA ni aibu za taifa. Kuna mwaka UVCCM walitaka kufanya maandamano ya kupongeza hotuba ya Rais Kikwete. Wakati huohuo kipindi Kikwete anakaribia kumaliza awamu yake aliwatimua kwenye event ambayo ilikuwa na ulazima wao kuwepo. Yaani Kikwete alishtuka majitu haya hapa na mavazi ya kijani kwenye shughuli isiyohitaji hayo mambo, akawaambia waondoke. Matukio ya UVCCM yenye kutia hasira ni mengi. BAVICHA wao tatizo lao ni kukabidhi akili zao zote kwa Sultani Mbowe. Walichobaki nacho ni matusi tu.
Walking and sleeping at the same time.Unaweza kusema umeona kila hadi sasa, Ila ukweli ni kuwa vingi bado hujaviona na pengine ndio mwanzo wa kuviona.
Vijana wa CCM wamepita kwenye hospital na fremu ya picha ya Rais wakiwaonyesha wagonjwa.
Sasa hapa unajiuliza Hawa wagonjwa wakiona picha wanapona au? Lakini ni kwamba hao wagonjwa hawamjui Raisi Mama Samia?
Ni vitu vyakushangaza sana, nchi yetu hii ina vijana wa hivi je kesho tutatoa akina Elon Musk wetu?
Rais anapaswa kukataa hizi mambo maana hazina faifa yoyote kwa wananchi na huenda wanaofanya hivi hawana mapenzi nae bali ni namna tu ya kujipendekeza.
Au tupo kwenye kampeni za uchaguzi mkuu?
CCM haitegemei kura.Jirani yako ana kura moja tuu, [emoji1] na anakupima tuu hapo uchaguzi ukifika CCM huwa inakuwa na ajenda moja tuu ya USHINDI.
Nyie mna washabiki na CCM ina wafuasi, nilifanya utafiti mdogo 28 October 2020, wale waliokuwa wanamshabikia TAL sikuwaona kituoni licha ya kuwahimiza twende tukapige kura, matokeo yakitoka mnalalamika.CCM haitegemei kura.
Vyombo vya dola vina tumika.
Kwa Avatar yako sioni sababu ya kujichosha na weweJirani yako ana kura moja tuu, [emoji1] na anakupima tuu hapo uchaguzi ukifika CCM huwa inakuwa na ajenda moja tuu ya USHINDI.
Sasa hapo walikuwa wananiongopea mimi au walikuwa wanaziongopea nafsi zao?Waongo hao.
WanaCCM wote wanaishi kwa CCM kuwa madarakani.
CCM ikitoka madarakani watakufa njaa hao, na hill wanalijua.
Wanajua hasira walizo nazo wananchi juu yao. Hivyo wapo tayari hata jina liwepo tu, kulinda usalama wao.
Katiba mpya ndio jibuNyie mna washabiki na CCM ina wafuasi, nilifanya utafiti mdogo 28 October 2020, wale waliokuwa wanamshabikia TAL sikuwaona kituoni licha ya kuwahimiza twende tukapige kura, matokeo yakitoka mnalalamika.
Jiwe aliharibu vijana wa uvccmHawa wanasaka atensheni ya mama
Kwa hiyo mdomo wa ndege huyu una sumaku ya kuvuta maji...! ama!?Wanasemaga Rais ni mfariji mkuu, kwa hiyo labda picha yake inaleta faraja kwa wagonjwa🐒View attachment 2103808