Hiyo ndiyo kazi yao mkuu na wakitoka huko tayari utasikia wamepewa udc.Hao wajinga wamekosa kazi za kufanya
Jana nilikuwa naongea na jirani zangu wana ccm wa kutegemewa na chama chao.Mama analazimisha kukubalika...
Wengi wao hao ni madanga tu hawana mpango kwani unaweza kujikuta unakanyaga miwaya.Halafu ni wadada ,
Hivi Bavicha wa maeneo Hayo mnakwama wapi?
Tongozeni hao wajinga piga pumbuz akili ziwakae sawa
Shabhash!
Uvccm na ccm yenyewe haijawahi hawajawahi kuwa na aibu
Haitawasaidia kitu maana kama imeshindwa rangi chokaa itafaa kitu gani?Kampeni zisizo rasmi.
Ujinga huu ulianzia hapo kwa sasa ni full kujikombaAisee ila haya masuala ya kujipendekeza yamezidi, na hii imetokana na sababu watu waliokuwa wakijpendekeza wanapewa vyeo. Sasa kila mtu anajipendekeza
Jamani hiyo picha ya raisi ni dawa tumesha ifanyia matambiko ya kijadi ya kichifu nikama hirizi na sa100 tumempatia usinga wa uchifu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaweza kusema umeona kila hadi sasa, Ila ukweli ni kuwa vingi bado hujaviona na pengine ndio mwanzo wa kuviona.
Vijana wa CCM wamepita kwenye hospital na fremu ya picha ya Rais wakiwaonyesha wagonjwa.
Sasa hapa unajiuliza Hawa wagonjwa wakiona picha wanapona au? Lakini ni kwamba hao wagonjwa hawamjui Raisi Mama Samia?
Ni vitu vyakushangaza sana, nchi yetu hii ina vijana wa hivi je kesho tutatoa akina Elon Musk wetu?
Rais anapaswa kukataa hizi mambo maana hazina faifa yoyote kwa wananchi na huenda wanaofanya hivi hawana mapenzi nae bali ni namna tu ya kujipendekeza.
Au tupo kwenye kampeni za uchaguzi mkuu?