Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea.
Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai ajiuzulu. Je hawajui kuwa wanajipaka matope kuwa hawataki serikali kudhibitiwa na bunge jambo ambalo lipo kikatiba. Huu ni upuuzi kabisa.