Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
sina laana kwenye ukoo wetu kiasi kumtetea Ndugai na maovu yake mengi, hii ni golden chance ya kumtoa Ndugai kwenye mamlaka kama alivyokuwa anafanyia wapinzani na kugeuza bunge mali yake binafsi + kumdhalilisha Mbowe kama vile ni mhamiaji haramuKama unashindwa kumtetea kwenye ukweli sababu tu alishawahi kufanya uonevu sehemu fulani, basi wewe ni tatizo na huna sifa ya kusimamia haki.
Mtu anatakiwa ahukumiwe kwa kesi iliyoletwa mezani na siyo kuchanganya kesi mbili tofauti ambazo hazihusiani.