Mtetee wewe basi.We mpumbavu nini? Fafanua makosa ya serikali awamu ya 5 ambayo bunge halikusimamia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtetee wewe basi.We mpumbavu nini? Fafanua makosa ya serikali awamu ya 5 ambayo bunge halikusimamia.
Wanapigana vikumbo walau kwenye mkeka wa wakuu wa Wilaya/mkoa wakumbukwe.Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea.
Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai ajiuzulu. Je hawajui kuwa wanajipaka matope kuwa hawataki serikali kudhibitiwa na bunge jambo ambalo lipo kikatiba. Huu ni upuuzi kabisa.
Mkuu Ndugai alijijengea uadui kila kona bila yeye kujua. Sasa ndiyo anaelewa kumbe bora ya wapinzani huongea hadharani muda wowote ila ccm ni kama kikulacho ki nguoni mwako.Mimi nilijua adui wa Ndugai ni wapinzani tu wa Chadema
Hawa madogo hawana akili ,wao ni bendera fata upepo.Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea.
Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai ajiuzulu. Je hawajui kuwa wanajipaka matope kuwa hawataki serikali kudhibitiwa na bunge jambo ambalo lipo kikatiba. Huu ni upuuzi kabisa.
Mbona chadema ilizunguka nchi nzima kwa miaka 8 kusema Lowasa no fisadi ila mbowe alipomfanya gwajima kuwa mshenga wa kumleta LOwasa chamani ukaunga mkono bila maswali?Madhambi yake ndiyo yametufanya tusimtetee ni shetani pekee anaweza kumtetea Ndugai
Sasa nyie bavicha msimamo wenu ni upi hasa?Bila kujua wanamtegeneza dikiteta mwingine,. Ambae keshanogewa madaraka
Lowasa yupo wapi sahivi?Mbona chadema ilizunguka nchi nzima kwa miaka 8 kusema Lowasa no fisadi ila mbowe alipomfanya gwajima kuwa mshenga wa kumleta LOwasa chamani ukaunga mkono bila maswali?
Tena si huyo tu kuna Nyarandu, sumaye na wengine wengi tu?
Yupo ccm!Lowasa yupo wapi sahivi?
Amejionea kwa macho kama tomasoMkuu Ndugai alijijengea uadui kila kona bila yeye kujua. Sasa ndiyo anaelewa kumbe bora ya wapinzani huongea hadharani muda wowote ila ccm ni kama kikulacho ki nguoni mwako.
wewe sasahivi unamsimamo gani maana upo naye CCM?Yupo ccm!
Vipo alipokuja huko kwenu ulikuwa na msimamo gani?
Kuishi bila ufisadi akshindwa akarudi ufisadini.Yupo ccm!
Vipo alipokuja huko kwenu ulikuwa na msimamo gani?
Aliendesha bunge kama mali yake binafsi na ubabe wa kijinga sn alaaniwe yeye na kizazi chake choteMkuu Ndugai alijijengea uadui kila kona bila yeye kujua. Sasa ndiyo anaelewa kumbe bora ya wapinzani huongea hadharani muda wowote ila ccm ni kama kikulacho ki nguoni mwako.
Ametekeleza wajibu wake hiyo ndio kazi ya Bunge.Ndugai lazima ajiuzuru.Anamchukia sana Samia
Uvccm mko sahihi nyokeni na dungayembe..Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea.
Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai ajiuzulu. Je hawajui kuwa wanajipaka matope kuwa hawataki serikali kudhibitiwa na bunge jambo ambalo lipo kikatiba. Huu ni upuuzi kabisa.
Katoe tamko usije ukasahaulika kwenye teuzi, ukabakia kwenye mgao wa buku7 miaka yoteSasa nyie bavicha msimamo wenu ni upi hasa?
Maana mko kama vinyonga!
Wewe ni muhuni kama wahuni wengine,si katiba inampa kila mtu uhuru wa kujieleza?,so Jdugai kakosea kuzungumza yanayokuchoma?Tutamuondoa kwa lazima bila huruma
Unataka wawe kinyume na mwenyekiti wa wa CCM Taifa, inakuingia akilini.Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea.
Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai ajiuzulu. Je hawajui kuwa wanajipaka matope kuwa hawataki serikali kudhibitiwa na bunge jambo ambalo lipo kikatiba. Huu ni upuuzi kabisa.
Hata hayati Magufuli aliwachukia watu waliotaka urais .Membe alibaki ndani ya chama au aliondoka? . Hakuna Rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm amewahi kuvumilia wanachama wenzake wanaotaka urais akiwa madarakani, hata Lowassa anajua.Na kwanini Samia awachukie wanaoutaka urais 2025?
Tatizo ni huyo mdhibiti mkuu wa bunge ndio kawachosha. Anaonyesha ubabe uliopitiliza.Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea.