Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Tangu lini lilianza/rejea kuizibitiHuu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea.
Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai ajiuzulu. Je hawajui kuwa wanajipaka matope kuwa hawataki serikali kudhibitiwa na bunge jambo ambalo lipo kikatiba. Huu ni upuuzi kabisa.
Tutamuondoa kwa lazima bila hurumaAsipojiuzulu?
Tangu lini umewahi kuona UVCCM wana akili!? Kati ya vijana useless and a great shame to the nation ni UVCCM.Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea.
Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai ajiuzulu. Je hawajui kuwa wanajipaka matope kuwa hawataki serikali kudhibitiwa na bunge jambo ambalo lipo kikatiba. Huu ni upuuzi kabisa.
Mhimu Ndugai atolewe kwa njia yoyote ile hata kwa kupigwa maweHuu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea.
Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai ajiuzulu. Je hawajui kuwa wanajipaka matope kuwa hawataki serikali kudhibitiwa na bunge jambo ambalo lipo kikatiba. Huu ni upuuzi kabisa.
Ndugai siyo mtu wa kumtetea hata kdg acha afe kivyakeHao watoto sakata la Ndungai limekuwa mtaji na fursa kwao ili Samia awaone kwenye ufalme wake,ni maslahi binafsi yanayowatuma kumshambulia Ndungai.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Madhambi yake ndiyo yametufanya tusimtetee ni shetani pekee anaweza kumtetea NdugaiWe pimbi kaa kimya. Kosa tu kuhoji mikopo?
Na kwanini Samia awachukie wanaoutaka urais 2025?Ndugai lazima ajiuzuru.Anamchukia sana Samia
Nchi hii ina vijana wa hovyo sana, yaani siamini kinachoendelea.Mbona hata mabavicha yameungana na uvcmm kumpopoa mawe Ndugau
Naamini U-chawa haukulipi, geuka nyuma pambania nji yako. Kuna siku katiba mpya itakuwepo na wahuni wote hawa wanao enjoy saivi watalia na kusaga meno. Ni kitanzi tu kudadeki na hiyo mimali waliyo nayo ni mwendo wa kutaifisha tuTutamuondoa kwa lazima bila huruma
Kama unashindwa kumtetea kwenye ukweli sababu tu alishawahi kufanya uonevu sehemu fulani, basi wewe ni tatizo na huna sifa ya kusimamia haki.Madhambi yake ndiyo yametufanya tusimtetee ni shetani pekee anaweza kumtetea Ndugai