Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
sina laana kwenye ukoo wetu kiasi kumtetea Ndugai na maovu yake mengi, hii ni golden chance ya kumtoa Ndugai kwenye mamlaka kama alivyokuwa anafanyia wapinzani na kugeuza bunge mali yake binafsi + kumdhalilisha Mbowe kama vile ni mhamiaji haramuKama unashindwa kumtetea kwenye ukweli sababu tu alishawahi kufanya uonevu sehemu fulani, basi wewe ni tatizo na huna sifa ya kusimamia haki.
Mtu anatakiwa ahukumiwe kwa kesi iliyoletwa mezani na siyo kuchanganya kesi mbili tofauti ambazo hazihusiani.
Ndugai hata shetani hawezi kumuomba msamahaVijana wanajimaliza kushoto na kulia huku hawaijui kesho ya Ndugai.
We have seen the same script somewhere . . .
Umoja wa Vijana Zimbabwe ukaandaa hadi hotuba ya kumshushua na kumsema Mnangagwa baadaye Mnangagwa akawa Rais, wale wale waliomtukana wakaenda kumuomba msamaha.
Unganeni naeMsipomuondoa?
Hiyo inaitwa Mama Clare chokea Kuni🏃.Tangu lini umewahi kuona UVCCM wana akili!? Kati ya vijana useless and a great shame to the nation ni UVCCM.
Ulinzi wote utaondolewa kwake,alindwe na mizimu ya kwao,Asipojiuzulu?
Yap shetani kwangu hana nafasi akafie huko wampige hata mawe kama nyokaKumbe mnalipa kisasi bila kuangalia huko mbele kuna nini?
Mke wake ni RAS Dom hivyo ataendelea kulindwaUlinzi wote utaondolewa kwake,alindwe na mizimu ya kwao,
We pimbi kaa kimya. Kosa tu kuhoji mikopo?
Adhabu ya muhaini unaijua!Msipomuondoa?
Huyo mkewe pia aondolewe kwenye hiyo nafasi,Mke wake ni RAS Dom hivyo ataendelea kulindwa
Kwani toka lini Bunge la Ndugai likasimamia serikali ya ccm?? Mi naona wako sawa.Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea.
Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai ajiuzulu. Je hawajui kuwa wanajipaka matope kuwa hawataki serikali kudhibitiwa na bunge jambo ambalo lipo kikatiba. Huu ni upuuzi kabisa.
Huo udhibiti umeanza lini?kuna awamu ambalo limechezewa kuliko awamu ya 5?lilifanya nini?kwa Tz hata bila bunge mambo yatakwenda tuHuu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea.
Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai ajiuzulu. Je hawajui kuwa wanajipaka matope kuwa hawataki serikali kudhibitiwa na bunge jambo ambalo lipo kikatiba. Huu ni upuuzi kabisa.
Waache tamaaNa kwanini Samia awachukie wanaoutaka urais 2025?
Kuna vyombo tanzania vinakula pesa ya umma tu bure kama bunge.Huo udhibiti umeanza lini?kuna awamu ambalo limechezewa kuliko awamu ya 5?lilifanya nini?kwa Tz hata bila bunge mambo yatakwenda tu
Anavuliwa uanachama chapu shughuli nzima inakuwa imeishia hapo.Asipojiuzulu?
Mbona mtakoma mwaka huu. Rais ni Samia hameni nchi.Bila kujua wanamtegeneza dikiteta mwingine,. Ambae keshanogewa madaraka
Mimi nilijua adui wa Ndugai ni wapinzani tu wa ChademaAnavuliwa uanachama chapu shughuli nzima inakuwa imeishia hapo.
Tena bora awahi kujiuzulu nafasi ya uspika tu ili abaki na ubunge wake.
Ila akikaza fuvu basi hata huo ubunge utakwenda na maji nyie endeleeni tu kumdanganya. Na hivi ccm kila kona wamemkomalia hawezi kuchomoka walikuwa wanamlia timing tu kwa kiburi chake.
Na ile nyingine pia ina mwenge.Ogopa sana taasisi zinazotumia alama ya mwenge kwenye nembo inayozitambulisha rasmi🐒View attachment 2070448
Bado hata akiondolewa ataendelea kula 5.2M per moon mazeeHuyo mkewe pia aondolewe kwenye hiyo nafasi,
Hayo alitakiwa ayazungumzie ndani ya vikao halali vya bunge ndipo kinga na mamlaka yake ilipk lakini kuzungumzia kwenye vikao vya kikabila ni kutafuta kiki zisizo na maana na bahati mbaya alim attack Rais personally sio serikali. Hapo ndipo chuki ya wazi ilipoonekana.Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea.
Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai ajiuzulu. Je hawajui kuwa wanajipaka matope kuwa hawataki serikali kudhibitiwa na bunge jambo ambalo lipo kikatiba. Huu ni upuuzi kabisa.
Naona mmemtenga Bwana wenu Ndugai. Juzi tu mlikuwa mnampa kibri leo anapopolewa nyie mmekimbia.Mbona hata mabavicha yameungana na uvcmm kumpopoa mawe Ndugau