... nimefuatilia sana huu mnakasha nikisubiri yule mhuni Crimea ajibu hii nondo; ni karibu masaa mawili sasa namwona kwenye nyuzi nyingine haiyumkiniki hajaona hii kitu! Safi sana; very brief, clear, loud, and to the point! Maneno 6 tu yametosha kuziona nyeti za kuku!Kuishi bila ufisadi akshindwa akarudi ufisadini.
Alipokuja akiwa fisadi mlifanya nini?Kuishi bila ufisadi akshindwa akarudi ufisadini.
Kwani mimi niliwahi kumkataa?wewe sasahivi unamsimamo gani maana upo naye CCM?
SawaKwani mimi niliwahi kumkataa?
Maadamu lilishaongelewa walitakiwa wasiendeleze maneno maneno kwani hii inapelekea kionekana kama CHAMA CHA MIPASHO. Kwa ukongwe wake kilikuwa na uwezo wa kulitatua hili kwa njia nzuri tuu bila kuleta taharuki.Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea.
Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai ajiuzulu. Je hawajui kuwa wanajipaka matope kuwa hawataki serikali kudhibitiwa na bunge jambo ambalo lipo kikatiba. Huu ni upuuzi kabisa.
Ndungai kashawapiga matatu bila Wala hajihudhuruHuu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea.
Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai ajiuzulu. Je hawajui kuwa wanajipaka matope kuwa hawataki serikali kudhibitiwa na bunge jambo ambalo lipo kikatiba. Huu ni upuuzi kabisa.
Kufariki kwa mwendazake ni pigo kwa watz ila wewe mwenzetu ni pigo mara 10Mbona hata mabavicha yameungana na uvcmm kumpopoa mawe Ndugau
Pole ninajua hali uliyonayo, kwani sukuma gang kwa sasa mnaruka na kukanyagana!!jinsi mungu alivyofundi ameshalichukua kubwa la mashetani, sasa li naibu lake liko kwenye hali tete sana!!hivi kwa uwezo wa kibinadamu kuna ambaye angeweza kuhisi kuwa siku moja , yatalikuta haya?kwa ubabe wote ule aliokuwa nao?We mpumbavu nini? Fafanua makosa ya serikali awamu ya 5 ambayo bunge halikusimamia.
Ni kweli wale ni wasaka fulsa!!ila kwa MBUNGI hii ilipofikia hilo ni gumu sana kutokea.Jamaa ndio basi tena.Kesho samia akimuita ndugai ikulu..wakasameheana wakagonga glass..nyumbu wa uvccm watapiga uturn ya nguvu..hakina ccm ni chama chakavu hata vijana hawatumii akili zaidi..kimsingi ninwasaka teuzi au wachumia tumbo.
#MaendeleoHayanaChama
Kweli yametimia.Ni kweli wale ni wasaka fulsa!!ila kwa MBUNGI hii ilipofikia hilo ni gumu sana kutokea.Jamaa ndio basi tena.
Siku zote walipokuwa wakiambiwa TZ, hakuna mihimili mitatu, bali kuna mmoja tu walikuwa wana kataa, sasa yako wapi??kwani kama muhimili wa bunge ungekuwa imala wala hili lisingekuwa tatizo, MfanoUSA, kipindi cha trump na yule spika nancy pelosi, kila siku walikuwa ni kupingana tu lakini hakuna tatizo lolote!!hata leo hii jaji mkuu ajichanganye tu amekwishaaa!!!Kweli yametimia.
#MaendeleoHayanaChama