UVCCM na CCM yote kwa ujumla wake imekuwa ikilaani na kukemea L ya aina hiyo.
Majuzi tu hapa Mwenezi wetu na msemaji mkuu wa chama chetu cha CCM Taifa Ndugu CPA Amos Gabriel Makalla amelaani vifo vya watu vilivyotokea wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa.
Hata Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia amekuwa akilaani sana mauji ya watu na kuagiza kufanyika kwa Uchunguzi
Lucas,ishu sio mauaji,ishu ni hayo mauaji Yana ajenda Gani ya siri ndani ya chama!!?
Na anaeuawa amebeba siri Gani tishio Hadi auawe!!?
Na hao wauaji wamebeba Siri gani Hadi wamuue kiongozi wa chama tawala!!?
Na uuaji wait una kikomo!?au ni endelevu!!?
Anaefuata ni nani!!?kumbuka kule kilolo iringa aliuawa kiongozi wa CCM Tena mwanamke kabisa,Leo Mbeya,kesho hatujui!
Bado vifo vya kina Ndugulile,mafuru n.k havijapoa na maelezo hayajaridhisha sisi wafiwa na were hukuridhika pia!!!
Binafsi nichukue nafasi hii kukuonya kwamba ACHA kuwa chawa wa mtu,Bali uwe chawa was jamuhuri ya Tanzania tu!!!
Hatujui team zinazowindana ni zipi na kwa malengo Gani hasa!!!
Nafsi inaniambia Hadi mwakani 2025 uchaguzi mkuu Hali hii itaendelea Hadi pale tutakapopata Raid mpya ndio patatulia,lakini Kwa sasa Hali Bado itakua ngumu!
Polisi hawawezi kuwa na msaada kwa sasa zaidi ya kutoa taarifa na kusema uchunguzi unaendelea bila kikomo Cha uchunguzi huo!!!
Wanachama wenzangu wa ccm ,muda wetu umefika was kuchagua mawili,uwe mtumishi wa jamhuri na chama kiujumla au kuwa chawa wa mtu kati ya Kambi mojawapo ya mbio za kusaka madaraka!!
Naandika kile ninachowaza!!