UVCCM yalaani Vikali Mauaji ya Michael Kalinga Mohammed Kawaida kwenda Mkoani Mbeya Kushiriki Mazishi yake hapo kesho

Mumeua sana wapinzani sasa mumeanza kuuana wenyewe kwa wenyewe hayawani wakubwa nyie na bado mtauana sana kituo kinachofuata ni wewe laana ya kuwateka ,kuwatesa na kuwaua wapinzani imenza kuwatafuna.
 
Hiyo ni drama tu usitupigie kelele
 
Lucas,ishu sio mauaji,ishu ni hayo mauaji Yana ajenda Gani ya siri ndani ya chama!!?

Na anaeuawa amebeba siri Gani tishio Hadi auawe!!?

Na hao wauaji wamebeba Siri gani Hadi wamuue kiongozi wa chama tawala!!?

Na uuaji wait una kikomo!?au ni endelevu!!?

Anaefuata ni nani!!?kumbuka kule kilolo iringa aliuawa kiongozi wa CCM Tena mwanamke kabisa,Leo Mbeya,kesho hatujui!

Bado vifo vya kina Ndugulile,mafuru n.k havijapoa na maelezo hayajaridhisha sisi wafiwa na were hukuridhika pia!!!

Binafsi nichukue nafasi hii kukuonya kwamba ACHA kuwa chawa wa mtu,Bali uwe chawa was jamuhuri ya Tanzania tu!!!

Hatujui team zinazowindana ni zipi na kwa malengo Gani hasa!!!

Nafsi inaniambia Hadi mwakani 2025 uchaguzi mkuu Hali hii itaendelea Hadi pale tutakapopata Raid mpya ndio patatulia,lakini Kwa sasa Hali Bado itakua ngumu!

Polisi hawawezi kuwa na msaada kwa sasa zaidi ya kutoa taarifa na kusema uchunguzi unaendelea bila kikomo Cha uchunguzi huo!!!

Wanachama wenzangu wa ccm ,muda wetu umefika was kuchagua mawili,uwe mtumishi wa jamhuri na chama kiujumla au kuwa chawa wa mtu kati ya Kambi mojawapo ya mbio za kusaka madaraka!!

Naandika kile ninachowaza!!
 
Hajauawa, amekatishwa mwendo mwacheni apumzike kwa amani.
 
Tuviachie vyombo vyetu vya dola viendelee kufanya uchunguzi wa kina na sisi tuendelee kuvipatia ushirikiano
 
Mumeua sana wapinzani sasa mumeanza kuuana wenyewe kwa wenyewe hayawani wakubwa nyie na bado mtauana sana kituo kinachofuata ni wewe laana ya kuwateka ,kuwatesa na kuwaua wapinzani imenza kuwatafuna.
Endelea kuropoka ropoka hapa kama mlevi wa gongo
 
Hv wanaposema wanalaani then matukio kama hayo yanaendelea kutokea tena siku hizi ni siku baada ya siku inasaidia nini???
MAISHA YETU YAPO HATARINI SANA MWANZONI ILIKUWA NI KWA UPANDE MMOJA ILA SIKU HIZI KWA PANDE ZOTE.
 
Aliona ni Kawaida kama jina lake lilivyo, huyu kijana ni ovyo na mjinga sana ,hawajawai kukemea utekaji mauaji yeyote kenyew ni kusifia kila kitu hata kakilishwa mavi katasema ni matamu sana ,
 
Kula chuma hicho...... Hizo ni drama tu . Kifo ni kifo hata Marekani wanakufa .. alisikika Chura kiziwi.
 
Embu jaribu kuguswa na matukio yenye kugusa hisia za watu kama tukio hili la mauaji ya kikatili.
Mawazo alikufa "kifuraha" eti... Mzee kibao alikufa "kifalme" eti... Wewe ndio mtu wa hovyo kabisa uliyekuwa unapaparika humu. ..dramaaa dramaaa wanajiteka....haya na nyie naona mmeanza kujiua.
 
Sijui kwanini nimecheka sana...Yani vidrama drama ndio walaani hivyo kwani kuna mtu hatakufa ?🤣
 
Yule aliyesema kwamba, wataanza kupoteza watu na hata kuwaua tena alikua analitahadharisha jeshi la police kuhusi utekaji huo alikua nani kweli? Kwanini tusianzie kwake? Why hakukemewa kwa matamshi yake ya uchochezi?
 
Hakuna laana yoyote hayo ni maneno matupu.

Kifo ni kifo.
 
mtu kauwawa kwa sababu ya mke wa mtu, unataka tuguswe ili iweje, acheni maigizo hayo kutaka huruma ya wananchi, Kifo ni kifo tu.

nimemaliza
Ungesaidia jeshi la polisi kutoa ushahidi wako maana inaonyesha unawafahamu wauaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…