UVCCM yalaani Vikali Mauaji ya Michael Kalinga Mohammed Kawaida kwenda Mkoani Mbeya Kushiriki Mazishi yake hapo kesho

Waambie waache kuwaonea wakinzani wa CCM ili waishi kwa amani.Amang"ana ghasarikire!
 
Ungesaidia jeshi la polisi kutoa ushahidi wako maana inaonyesha unawafahamu wauaji
Jeshi lipi sasa, kwani habari za watekaji na mauaji umezisikia jana kwa huyo mwenyekiti wako wa CCM? jeshi halifanyi chochote, kwani yule katibu wa chama pale Iringa yule aliyeuwawa na hao hao wasiojulikana umesikia taarifa yoyote?
 
huo ndiyo ungwana, na huo ndio utu katika uongozi.

kama Taifa inafaa kukemea unyama huu wa kikatili kwa nguvu zote na kuhakikisha tunaliombea jeshi la polisi nchini kuhakikisha wahusika wote wanatiwa nguvuni mara moja, na hatua kali za kisheria dhidi yao zinachukuliwa ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia au mipango kama hiyo.

R.I.P comrade Michael Kalinga
 
Mtoto mkundu kweli wewe.
 
Jeshi lipi sasa, kwani habari za watekaji na mauaji umezisikia jana kwa huyo mwenyekiti wako wa CCM? jeshi halifanyi chochote, kwani yule katibu wa chama pale Iringa yule aliyeuwawa na hao hao wasiojulikana umesikia taarifa yoyote?
Uwe na subira.watu walishaanza kukamatwa kwa ajili ya mahojiano
 
Hi kulaani vikali ndio nini πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Tanzania eti nchi ya wasiojulikana, inakumbatia watu ambao hawatakiwi wajulikane?
 
wewe mbona huna subira umeshapiga ukunga, na wewe kuwa nasubira matamko tamko na kujifanya kulaani mnalaani nini mnaacha kuwa na subira
Kwa hiyo unataka tukae kimya kama wendawazimu
 
Serikali ya chama chako imejifanya haioni malalamiko ya watu kupotea wala kuuliwa.Siku hizi msemo ni watu wasiojulikana - ndo imekuwa kichaka cha watu waovu, polisi na serikali wenyewe.
Majibu mmeanza kuyapata - mkuki kwa nguruwe- kwa binadamu mchongo.
Nyie endeleeni kufumbia macho mauaji yanayotokea....Sote tutaguswa tu...
Na wewe Lucas usifiri sana uko salama kwa sababu kutwa kuchwa unasifia na kuabudu chama chako na serikali..kumbuka hivyo vyote ni taasisi na sio mtu....hata wewe pia unawezajichanganya wakadeal na wewe.
Watu wote kwa umoja wetu bila kujali itikadi zetu - tungekemea haya mambo ya kuuana..
Nyie CCM mnakuwa waoga na wanafiki - shauri yenu..NA MTAGUSWA TU....we are not safe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…