UVCCM yalaani Vikali Mauaji ya Michael Kalinga Mohammed Kawaida kwenda Mkoani Mbeya Kushiriki Mazishi yake hapo kesho

Kuna ripoti yoyote ya uchunguzi iliyotokana na agizo la rais uliwahi kuisoma popote au bado wanaendelea kufanya uchunguzi.
 
CCM tunalaani sana vitendo hivi vya kihalifu bila kujali itikadi za kisiasa
 
Atulie hivyo hivyo, taarifa zikitoka wanasema ni drama, kwao vinawauma, acha drama ziendelee hata huko huko huko kwao
 
Kulaani kwa unafiki ni uzandiki tu. Inapswa haya mambo kuzuiwa kujitokeza hata yakitokea kwa urefu wa mkono wa serekale washenzi wote wangekuwa wanatia mikononi mwa polisi na kukutana na adhabu kali mahakamani.
 
Kulaani kwa unafiki ni uzandiki tu. Inapswa haya mambo kuzuiwa kujitokeza hata yakitokea kwa urefu wa mkono wa serekale washenzi wote wangekuwa wanatia mikononi mwa polisi na kukutana na adhabu kali mahakamani.
Ondoa wasiwasi wahusika wote watakamatwa na kufikishwa mahakamani.
 
Wakikamatwa ndiyo uhai wake utarudi? dawa ni kuzuia haya matendo ya kishenzi, mwanzo mliona CHADEMA wanaigiza sababu akili zenu ni za kijinga.
Kwa hiyo unataka wasikamatwe? Tambua ya kuwa katika jamii wapo watu wana mawazo ya kishetani na hao tunaishi nao kwenye jamii yetu na wakati mwingine tunashindwa kutoa taarifa ilihali tunawafahamu.najua hata wewe pamoja na ujinga wako wote unafahamu ukweli huu
 
UWT saidieni nchi, walipoanza kuuawa CHADEMA mlikuwa kimya Mwenyekiti wenu akasema ni drama badala ya kuzuia tatizo mnaitaka drama, Mwenyekiti wenu ni katili na mtu wa hovyo kabisa japo amejificha kwenye dini. Hatuwezi kuruhusu utekaji na mauji kisa wanaouliwa ni CHADEMA inatakiwa utu kwanza hata kama ni nyie UWT au ACT tukemee kwa pamoja.
 
Kifo ni kifo tu: Samia Suluhu Hassan
 
Mmefikiwa?? Basi huo ndo uchungu wanapata ndugu zào na wale mnaowaua Kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…