Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Hakuna lolote wanamalizana na parody lao.[emoji23][emoji23]Walio kuwa wanampa taarifa wamesitisha sasa
Ninatumia akili sana kwenye hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna lolote wanamalizana na parody lao.[emoji23][emoji23]Walio kuwa wanampa taarifa wamesitisha sasa
😂 😂 😂Mzee unatype kama vile mtu anayejaribu kuongea huku anatafuna karanga.
Hii imepata kuishi....Huyu jamaa inawezekana anacheza na akili za watu tu!
Na siyo ajabu ikawa ni mbinu ya hao tiss kuwatafuta wale wanaompinga meko kwa kumtumia huyo mshikaji!
Ipo siku atawageuka wote wanaomshadadia, then ataishia kutukanwa!
Kuna wakati anageuza upepo na kuwafumua akina zitto, mbowe n.k! Hivyo inawezekana yupo kimkakati, na tunavyoaminishwa anatafutwa, ni moja wapo ya mbinu za kutekeleza mkakati mzima!
Huyo ni system kabisa huenda!
Sent from my iPhone using JamiiForums