mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
mimi napenda sana watu tuwe na akiba ya maneno.Mkuu hakamatiki hata iweje, Unaweza ukacheza na State na usikamatike ,watu wanacheza na State kubwa na hawakamatiki, ije kuwa Tanzania?
Refer Edward Snowden alikuwa visible Whistle-blower, Marekani ilishindwa kumkamata na hata kabla hajatoroka US alikuwa katoa siri nyingi sana za US kwa Russia
serikali inaweza kushindwa mambo mengi lakini si pamoja na hili.
Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app