Sometimes huwa nawalable watu wa aina yako kwa kuwapa majina ambayo huakisi uwezo wao wa kufikiri na kuchanganua hoja! Na Leo nakubatiza kwa jina la bumunda. Ni mkulima yupi uanyemzungumzia hapa? Huyu wa Tanzania anayetumia jembe la mkono Hadi Sasa? Au huyu ambaye hapati pembejeo na ushauri wa kitaalamu na akibahatika kupata ni katikati ya msimu? Na au huyu ambaye Hana solo la uhakika la mazao yake? Au yule anayekopwa mazao yake? Ni yupi katika hao? Wakulima wa korosho, pamba, nyanya na hata mshindi? Ni yupi hasa?
Usiwe unabweka tu huku ukiwa umekalia Kochi la shemejio, njoo shambani uyaone masaibu ya mkulima!
Na hizo Barabara ni zipo zinazojengwa tangu nchi ipate Uhuru na haziishi? Nenda kigoma, sumbawanga,mbeya, songea na hata hapo pwani uzione Barabara zinazoingia vijijini na hata wilayani Kama hujalia! Next time try to think vividly and rationally! Usiwaze kubweka Tena humu kwani huna hoja!
Mimi pia baada ya kusoma nilitamani nikupe jina lakini sina kipaji kama chako ila nakuomba jina utajipatia mwenyewe, jambo moja nililogundua kwako hufikiri kwa akili yako nadhani utakuwa unapiga nyugu ya bangi, hakuna serikali inayowezakumaliza changamoto zote kwa wakati mmoja ndio maana tangu tumepata uhuru huyu ni rais wa tano lakini bado kuna shida na zinatatuliwa kwa awamu, hata nchi zilizoendelea kama amerika wanashida zao pia pamoja na kupata uhuru miaka mingi na kuongozwa na marais zaid ya arobaini sasa, jambo la msingi ni kuona dhamira ya kweli ya kiongozi katika kutatua shida na changamoto zilizopo na zinazojitokeza. kapige tena nyungu ya bangi halafu uje uandike.