Uvujaji wa taarifa nyeti: Je, TISS kuna tatizo?

Uvujaji wa taarifa nyeti: Je, TISS kuna tatizo?

Vichwa maji ndiyo
TISS haipo simple kama mnvayo ichukulia. Ina watu smart na wenye IQ kubwa sana na wanatenda kwa sehemu zao kwa weledi wa hali juu,vivyo hivyo kuna vichwa maji mle na ndio wanaipaka idara matope ya mavi...
 
Mi huwa siamni kabisa mtu kama Kigogo,kwa sababu inawezekana ukawa ni mtegp umetegwa halafu ukijichanganya tu unaingia mikononi kwa wengine na Kigogo anaendelea na kazi yake ya kuwatega maboya wengine.
 
HII ISHU YA KIGOGO NINAVYOONA PENGINE HAO TISS BAADHI HAWAKUBALIANI NA SYSTEM YAO INAVYOENDESHWA AWAMU HII.. HIVO WENGINE WANAAMUA TU KUTOA SIRI NYETI ZA SERIKALI KAMA NAMNA YA KUFIKISHA UJUMBE SEHEMU FULANI WITHIN THE SYSTEM.... najaribu tu kufikiria tu hivyo kwa sauti [emoji848]
 
Kumbuka hao vichwa maji waliotokea kwenye siasa ndo wana vyeo vikubwa sasa kuna nini hapo?!!
 
Kuna watu huwa wanaota kuja kuwa TISS hivyo wamejitahidi Hata kuangalia muvie za ulaya za intelijensia na kuzihamishia kwetu ndo hawa ambao wanatusumbua kila siku kujifanya wanaijua idara. Laiti ungepata wasaa wa kukutana nao ni wafanyakazi wa kawaida kabisa ambao zamani tulidanganywa eti wanajua ata unafikiria nini. Cc genius Bia yetu Statesmann state agent na wengine wanaojiona kupitia ndotoni wameshakua Tiss

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikupe siri...wakati mwingine unaweza kuifanyia idara ya tiss kazi pasipo wewe kujijua.
 
Umeongea ukweli kabisa
Kuna watu huwa wanaota kuja kuwa TISS hivyo wamejitahidi Hata kuangalia muvie za ulaya za intelijensia na kuzihamishia kwetu ndo hawa ambao wanatusumbua kila siku kujifanya wanaijua idara. Laiti ungepata wasaa wa kukutana nao ni wafanyakazi wa kawaida kabisa ambao zamani tulidanganywa eti wanajua ata unafikiria nini. Cc genius Bia yetu Statesmann state agent na wengine wanaojiona kupitia ndotoni wameshakua Tiss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JPM ndio kamleta kigogo mwenyewe!!Unapiga pini media ili uibe bila wananchi kujua ili iweje??TISS wameamua kubalance utawala bila jiwe kujua!!!ASANTE TISS KWA MISSION KIGOGO 2014!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Dah... Kwahiyo pale kigogo anatoa siri ipi ambayo ni hatari kwa utawala wa JPM?
 
Kuna watu wako humu JF special kwa ajili ya kupindisha mada..kuna watu wako special kwa ajili ya spining..kuna UVCCM humu aka MATAGA ambao wanadhan wao ni TISS kumbe hawajui lolote zaid ya ilani ya CCM yaan they are too far nje ya loop...kuna watu wa idara ya TISS kweli kweli humu JF na most of the time hawacomment bali husoma tu replies na kuzifanyia kazi...saying so, niwape Fact isiyo na chenga, ukweli ni kwamba Kigogo2014 wa twitter anawasumbua sana serikali nikiimaisha TISS ya awamu hii na wameweka kilakitu pamoja na resources zote walizonazo in place ili wamnase..its a matter of time watamdaka na kumnyamazisha. You cant play with any STATE and get along with it..you simply CANT
 
Hivi mtu anayejielewa atapoteza muda kumtafuta mtu ambaye hajulikani?

Huyo ni mropokaji tu

Kwa hiyo unataka utuambie aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani kabla ya kutumbuliwa Mh. Kangi Lugola, HAJIELEWI! maana alitutangazia hadharani kumtafuta huyo jamaa! Na alituahidi kumkamata ndani ya muda mfupi tu.
 
Ngoja nirudi twitter kumsoma kigogo, maana nondo zake sio za dunia hii.

Mm nachomsifia kautonya umma juu ya mipango haramu juu ya Mbowe na sasa wanaona aibu jinsi ya kuileta kwa hadhara.
 
Kuna watu wako humu JF special kwa ajili ya kupindisha mada..kuna watu wako special kwa ajili ya spining..kuna UVCCM humu aka MATAGA ambao wanadhan wao ni TISS kumbe hawajui lolote zaid ya ilani ya CCM yaan they are too far nje ya loop...kuna watu wa idara ya TISS kweli kweli humu JF na most of the time hawacomment bali husoma tu replies na kuzifanyia kazi...saying so, niwape Fact isiyo na chenga, ukweli ni kwamba Kigogo2014 wa twitter anawasumbua sana serikali nikiimaisha TISS ya awamu hii na wameweka kilakitu pamoja na resources zote walizonazo in place ili wamnase..its a matter of time watamdaka na kumnyamazisha. You cant play with any STATE and get along with it..you simply CANT

Ee Mungu, naomba umlinde Kigogo 2014 kwa gharama yoyote ili asije akaangukia mikononi mwa watesi wake. Ukiiangalia tamthiliya ya Kikorea ya BRIDAL MASK, hakika huyo Kigogo 2014, ni SHUJAA kwa WENGI, na pia ni ADUI kwa WACHACHE
 
Back
Top Bottom