Nilishakwambia wewe jamaa unamental disorder, unaongea conspiracy theory tuu, we jamaa lijinga kwelikweli ,tunaomba ututhibitishie kwa facts kauli zako..I bet shujaa alivunja records kwa kuweka washamba katika cabinet..wapiga pambio hadi waosha 'masufuria' kwenye ziara zake
Nadhani unazidi kujiona ulivyo mjinga! Tanzania ya leo unaongelea mambo ya kujitenga kikanda? Kweli Tanzania sio mahali pako! Nenda kwenu Burundi wenye akili na roho za namna iyoWewe pia umemezwa na ukanda na ukabila, hii nchi ipo siku tutaigawa sisi wenyewe watanzania kwa maneno yetu ya ovyo
Alishaigawa mwendakuzimu.Wewe pia umemezwa na ukanda na ukabila, hii nchi ipo siku tutaigawa sisi wenyewe watanzania kwa maneno yetu ya ovyo
Wewe taahira hujui kua kanda ya ziwa ina determinr urais wa nchi hii?Sukuma gang watulie, zama zao zimekwisha rasmi.
Hakuna cha kanda ya ziwa wala kanda bongoman.
Hebu tuwahi Zanzibar tukapokee ndege zetu mpya.
Ndio mjuwe hizi ni zama nyingine, si zama zile za kila siku jitu moja tu kwenye matukio yote na kujiona ndio ana akili kuliko watu wote.
Kama nyinyi mnakuja na hoja zenu mufilisi za ukanda, kwanini na sisi tusijitenga tuunde taifa letu jipya la kanda ya ziwa kama rasimali tunazoNadhani unazidi kujiona ulivyo mjinga! Tanzania ya leo unaongelea mambo ya kujitenga kikanda? Kweli Tanzania sio mahali pako! Nenda kwenu Burundi wenye akili na roho za namna iyou
Hamna akili ya kujiongoza kazi yenu ni kulima na kufugaNchi hii tambua wasukuma ndio wanailisha,pia tambua wasukuma tunao changia asilimia kubwa uchumi wa taifa hili,## Tunataka Uhuru wetu,tunata kanda ya ziwa itambulike kama taifa huru.....
We jitu unamental retardation,Alishaigawa mwendakuzimu.
Tujitenge kama nchi na tujilinganishe na nyinyi mnaojua kujiongoza na tuone nani atakuwa na maendeleo zaidHamna akili ya kujiongoza kazi yenu ni kulima na kufuga
Hebu Prove.We jitu unamental retardation,
Mtaweza kuhama na Ng'ombe kila nyakati mkapata maendeleo?Tujitenge kama nchi na tujilinganishe na nyinyi mnaojua kujiongoza na tuone nani atakuwa na maendeleo zaid
Thinking capacity yako,iko kwenye critical levelHebu Prove.
Mi naweza nikaprove 'shujaa' alikuwa na ********
Oy mkuu uko karne ya 19 mwishoni au.…Mtaweza kuhama na Ng'ombe kila nyakati mkapata maendeleo?
Tatizo wanaamini sana katika ushirikina mkuu.Watu wa kanda ya ziwa ndo kina nani?
Nyie ni wapumbavu tu na hamuwezi kufanya chochote zaidi ya kujijaza ujinga.
Eti magu kauliwa.
Mtu kaidharau covid imemuangusha mnakuja na dhahania zenu.
Kubalini tu kwamba si zamu yenu kutamba tena.
Jibu swali, unaweza ukamigrate na ng'ombe kila sehemu na kila nyakati ukapata maendeleo?Oy mkuu uko karne ya 19 mwishoni au.…
Duniani kote viongozi wastaafu hutumika sana kumshauri Rais aliyeko madarakani. So sioni ubaya anaofanya JK provided analitumikia taifa lake.Kuna hatari fulani nimeanza kuiona, kuna maneno fulani nimeanza kuyasikia na kuna Mipango fulani ya kukomoana na kuhujumiana ndani kwa ndani nimeanza kuisikia pia.
Mimi sina uhakika kuwa kwa sasa Rais Samia ni TV Screen tu ila Rais Mstaafu Kikwete ndiye Remote Control kama watu wasemavyo, ila kama hili lina Ukweli basi kuna Hatari moja Kubwa ndani ya CCM na Serikali naiona inaenda kuja (kutokea)
Na wewe Rais Mstaafu Kikwete kama ni kweli una Ushawishi mkubwa katika Utawala huu wa Rais Samia tafadhali jishtukie upesi, kaa mbali nae na mwachie Mama nae atengeneze Legacy yake kwa huongelewi vyema na Watu wa Kanda ya Ziwa hasa baada ya Tukio Kubwa nchini la tarehe 17 Machi, 2021.
Kuna Taa Nyekundu ninaiona mahala!
Mimi natoka kanda ya ziwa lakini siyo Msukuma na kamwe sijawahi kumshabikia huyo kichaa.Haya ndio majitu yatakayogawa taifa hili, yanabwabwaja tu, hayajui impact ya maneno yao itakuwaje, Haya majitu ni hatari kwa usalama wa taifa, we jamaa unamatatizo ya kiukanda
Nilikuona uko smart ,lakTatizo wanaamini sana katika ushirikina mkuu.
Vip ulishamaliza dose mirembe hospital??Jibu swali, unaweza ukamigrate na ng'ombe kila sehemu na kila nyakati ukapata maendeleo?
Sasa kama unaamini hayati alikuwa na nguvu hiyo ya kumfanya jk asiwe na furaha iweje tena mnadai kuna hujuma alifanyiwa?mzee tabasamu alijua kula mema ya nchi na hiyo ndio starehe yake.
kitendo cha jiwe the great kupindua meza ya mazoea,kilikuwa ukatili mkubwa sana kwake.
isingekuwa rahisi apate nafasi adhimu hii kwa mara ya pili halafu ajivunge.
kuna mtz mizumbukuku,ipo ipo tu eti mataga wataisoma namba,kodi nyingi zinapoletwa kwenye meza kilioo.
acha mama aupige mwingi,kwenye wallpaper.
Mbona unaonekana wewe kama kichaa???Mimi natoka kanda ya ziwa lakini siyo Msukuma na kamwe sijawahi kumshabikia huyo kichaa
Justify....Sasa kama unaamini hayati alikuwa na nguvu hiyo ya kumfanya jk asiwe na furaha iweje tena mnadai kuna hujuma alifanyiwa?
Hayati alikuwa mbish sana kwenye mambo ya kisayansi hilo ndo lilimponza tuache kusingizia watu.