Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

I bet shujaa alivunja records kwa kuweka washamba katika cabinet..wapiga pambio hadi waosha 'masufuria' kwenye ziara zake
Nilishakwambia wewe jamaa unamental disorder, unaongea conspiracy theory tuu, we jamaa lijinga kwelikweli ,tunaomba ututhibitishie kwa facts kauli zako..
 
Wewe pia umemezwa na ukanda na ukabila, hii nchi ipo siku tutaigawa sisi wenyewe watanzania kwa maneno yetu ya ovyo
Nadhani unazidi kujiona ulivyo mjinga! Tanzania ya leo unaongelea mambo ya kujitenga kikanda? Kweli Tanzania sio mahali pako! Nenda kwenu Burundi wenye akili na roho za namna iyo
 
Sukuma gang watulie, zama zao zimekwisha rasmi.

Hakuna cha kanda ya ziwa wala kanda bongoman.

Hebu tuwahi Zanzibar tukapokee ndege zetu mpya.

Ndio mjuwe hizi ni zama nyingine, si zama zile za kila siku jitu moja tu kwenye matukio yote na kujiona ndio ana akili kuliko watu wote.
Wewe taahira hujui kua kanda ya ziwa ina determinr urais wa nchi hii?

Usiwe unajiamdikia tu uonekane unaandika uharo humu.
 
Nadhani unazidi kujiona ulivyo mjinga! Tanzania ya leo unaongelea mambo ya kujitenga kikanda? Kweli Tanzania sio mahali pako! Nenda kwenu Burundi wenye akili na roho za namna iyou
Kama nyinyi mnakuja na hoja zenu mufilisi za ukanda, kwanini na sisi tusijitenga tuunde taifa letu jipya la kanda ya ziwa kama rasimali tunazo
 
Nchi hii tambua wasukuma ndio wanailisha,pia tambua wasukuma tunao changia asilimia kubwa uchumi wa taifa hili,## Tunataka Uhuru wetu,tunata kanda ya ziwa itambulike kama taifa huru.....
Hamna akili ya kujiongoza kazi yenu ni kulima na kufuga
 
Watu wa kanda ya ziwa ndo kina nani?

Nyie ni wapumbavu tu na hamuwezi kufanya chochote zaidi ya kujijaza ujinga.

Eti magu kauliwa.

Mtu kaidharau covid imemuangusha mnakuja na dhahania zenu.

Kubalini tu kwamba si zamu yenu kutamba tena.
Tatizo wanaamini sana katika ushirikina mkuu.
 
Kuna hatari fulani nimeanza kuiona, kuna maneno fulani nimeanza kuyasikia na kuna Mipango fulani ya kukomoana na kuhujumiana ndani kwa ndani nimeanza kuisikia pia.

Mimi sina uhakika kuwa kwa sasa Rais Samia ni TV Screen tu ila Rais Mstaafu Kikwete ndiye Remote Control kama watu wasemavyo, ila kama hili lina Ukweli basi kuna Hatari moja Kubwa ndani ya CCM na Serikali naiona inaenda kuja (kutokea)

Na wewe Rais Mstaafu Kikwete kama ni kweli una Ushawishi mkubwa katika Utawala huu wa Rais Samia tafadhali jishtukie upesi, kaa mbali nae na mwachie Mama nae atengeneze Legacy yake kwa huongelewi vyema na Watu wa Kanda ya Ziwa hasa baada ya Tukio Kubwa nchini la tarehe 17 Machi, 2021.

Kuna Taa Nyekundu ninaiona mahala!
Duniani kote viongozi wastaafu hutumika sana kumshauri Rais aliyeko madarakani. So sioni ubaya anaofanya JK provided analitumikia taifa lake.

Na hizi habari za kuwa eti kuna sijui ha tari sijui taa nyekundu ni za kupuuza tu. Kwani kuna jambo gani la kutisha zaidi ya kifo? Kama ni kufa whether kwa kuuawa au kifo cha kawaida ni jambo ambalo sote tuna uhakika Kikwete atakufa, Samia atakufa, Atakayekuja atakufa, mimi na wewe na mwingine yyt tutakufa tu. Kama hivyo ndivyo sioni hapo taa nyekundu wala nyeusi.

Kikwete piga kazi msaidie mama mpaka pale Mungu atakavyotaka vinginevyo na wala sio binadamu wenye mamlaka ya hatima ya yeyote
 
Haya ndio majitu yatakayogawa taifa hili, yanabwabwaja tu, hayajui impact ya maneno yao itakuwaje, Haya majitu ni hatari kwa usalama wa taifa, we jamaa unamatatizo ya kiukanda
Mimi natoka kanda ya ziwa lakini siyo Msukuma na kamwe sijawahi kumshabikia huyo kichaa.
 
mzee tabasamu alijua kula mema ya nchi na hiyo ndio starehe yake.

kitendo cha jiwe the great kupindua meza ya mazoea,kilikuwa ukatili mkubwa sana kwake.
isingekuwa rahisi apate nafasi adhimu hii kwa mara ya pili halafu ajivunge.

kuna mtz mizumbukuku,ipo ipo tu eti mataga wataisoma namba,kodi nyingi zinapoletwa kwenye meza kilioo.

acha mama aupige mwingi,kwenye wallpaper.
Sasa kama unaamini hayati alikuwa na nguvu hiyo ya kumfanya jk asiwe na furaha iweje tena mnadai kuna hujuma alifanyiwa?

Hayati alikuwa mbish sana kwenye mambo ya kisayansi hilo ndo lilimponza tuache kusingizia watu.
 
Sasa kama unaamini hayati alikuwa na nguvu hiyo ya kumfanya jk asiwe na furaha iweje tena mnadai kuna hujuma alifanyiwa?

Hayati alikuwa mbish sana kwenye mambo ya kisayansi hilo ndo lilimponza tuache kusingizia watu.
Justify....
 
Back
Top Bottom