Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

So na Amin yule wa Uganda na yeye ni hayati? Yawezekana na wewe ulishiriki kumwita shujaa wenu wa Afrika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Leo umeongea point kubwa mwenye maskio na asikie, na hizi kejeli zinazoendelea juu ya Hayati Magufuli tujipe muda tu.

Kwa ufupi watu wa kanda ya ziwa kwa 100% wanajua ya kwamba kuna kitu kibaya kilitendeka kwa Hayati
Hamuamini kuwa ni kifo
 
Kwa mamlaka aliyonayo mh. Raisi sidhani kama kuna mtu au mstaafu anaweza akawe nyuma yake. Hili nalipinga kabisa.

Ni utashi wake kiongozi kutenda yale ayaonayo yanastahili kwa wakati husika.

Sijafurahishwa na watu waliokuwa wakimdhihaki sana na kumpinga pasipo staha hayati JPM kuanza kupata platform. Hili ni suala la kulitatua kwa umakini zaidi hasa yule binti wa marekani na yule jamaa wa twita.
 
Business monopolistic iko mahali kote
Nikwambie kitu Mtu pekee anaeruhusiwa kupeleka maharage India ni mmoja tuuu MO nyie wengine hamruhusiwi
 
Ulitaka nani ateuliwe
 
Kikwete kamuibua Magufuli Leo kikwete Mbaya Magufuli Mzuri hatuna shukrani
 
Mpaka nimeandika jua kuna Hatari Ndugu.
Dah! Mrembo una vipaji lukuki mpaka basi! Yaani kwenye michezo upo, burudani upo, siasa upo! Kwa Wahubiri upo!!

Hivi unapata hata muda wa kuwapikia watoto chakula kweli? Yaani ningekua mimi ndiye mume wako wa ndoa, ningesha kumwaga kitambo.
 
Dah! Mrembo una vipaji lukuki mpaka basi! Yaani kwenye michezo upo, burudani upo, siasa upo! Kwa Wahubiri upo!!

Hivi unapata hata muda wa kuwapikia watoto chakula kweli? Yaani ningekua mimi ndiye mume wako wa ndoa, ningesha kumwaga kitambo.
Anayekubokoa 24/7 Yeye ameshakuacha?
 
Hakuna Mpwani anawezaongoza nchi hii. Kwa ushahidi, kipindi chote cha uongozi wa Wapwani nchi ilienda harijojo. Mpaka mtu atoke Kanda ya Ziwa ndio nchi inatulia. Ushawahi kujiuliza kwanini Mzee wa Msoga alienda kupiga magoti Chato 2015?
 
Hakuna Mpwani anawezaongoza nchi hii. Kwa ushahidi, kipindi chote cha uongozi wa Wapwani nchi ilienda harijojo. Mpaka mtu atoke Kanda ya Ziwa ndio nchi inatulia. Ushawahi kujiuliza kwanini Mzee wa Msoga alienda kupiga magoti Chato 2015?
Hayati kaacha msiba mzito sana kwa Vijana wake... maana wengi waliishi kwa kumsifia , sasahivi ni kimya kimya tu nchi inasogea.. Hakuna ikikupendeza, wala zile ninaomba sijui KM moja ya barabara, mara ninaomba shule, wakati hayo mambo ya lazima kwa Serikali... Tumshukuru mungu.
 
Daah Kikwete kila jumba bovu anaangushiwa yeye wahuni walipewa Nchi wameongoza miaka sita tuu wameharibu kila kitu...
 
Manabii na watu wote maarufu duniani hawakuwa maarufu enzi za uhai wao, bali umaarufu wanaupata baada ya kuwa wamefariki na watu wengine wenye akili wanapozaliwa na kuanza kuyatafari aliyoyafanya aliyepita. Socrates, Plato na Aristotle ni mfano mmojawapo. Yesu Kristi pia. Unataka mifano mingine?

Kwa uwezo wako ni sawa kumbeza JPM, lakini amin nakwambia, Historia ya Tanzania itamkumbuka. Historia ya Afrika itamkumbuka na Historia ya Ulimwengu itamkumbuka bila kujali wewe mwenye uwezo mdogo wa kufikiri wa leo unamsemaje!
 
Kuna mazuri ameyafanya atakumbukwa nayo kama wengine watangulizi wake waliyoyafanya kwani shida iko wapi ? Watanzania tuko milioni 60 tunaendeleza gurudumu.. Mnataka kufanya kama tunatawaliwa na Mfalme, Katiba mpya ije tu iweke vipengele vzr tutoke kwenye HUJIMA ambao almanusura tunge zama.. Mungu aendelee kushukuliwa...
 
Nimepitia huu uzi, nimegundua magufuli alikuwa anaenda kuwa Rais wa maisha na kuibadili katiba.... maana Misukule yake hawaamini kama hayupo tena, wanatamani afufuke. Hakika tutaendelea kumshukuru mungu daima..
Hilo sio suala la Mungu,
sheria zote zitabadlika ila sheria ya mabadiliko.
 
Hatari kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…