Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

Anaongoza kutokea Msoga.
 
Na ndege moja imeandikwa Zanzibar nyingine ya pili imeandikwa Tanzanite.

Awamu ya sita muungano huu ni pasu kwa pasu kwa kila hatua.

Hata teuzi sasa hivi akiteuliwa mmatumbi na mkojani lazima awepo.
Pasu kwa pasu Kati ya Tanzania bara na Tanzania visiwani haiwezekani
 
Watu wa kanda ya ziwa ndo kina nani?

Nyie ni wapumbavu tu na hamuwezi kufanya chochote zaidi ya kujijaza ujinga.

Eti magu kauliwa.

Mtu kaidharau covid imemuangusha mnakuja na dhahania zenu.

Kubalini tu kwamba si zamu yenu kutamba tena.
Una uhakika gani kama covid imemuua

Sababu hiyo covid ni upumbavu mtupu kwa ajili ya watu wajinga duniani na siyo ugonjwa
 
So na Amin yule wa Uganda na yeye ni hayati? Yawezekana na wewe ulishiriki kumwita shujaa wenu wa Afrika
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unachekacheka nini Sasa.
 
With I'll motive, hamna jipya.

Naona mwanchi usie wa kawaida, unashangilia illusion s za watu.
Ni kweli haujakosea, tambua nafasi yako nchini (kidampa) kisha utulie na usubirie kuamriwa namna ya kuishi.
 
Unachekacheka nini Sasa.
Vp ukisikia shujaa feki wa Afrika kumbe alizaa na mdogo wa mke wake, waweza jinyonga wewe, japo mimi hili sina tatizo nalo kwani ni personal life lakini mbaya.
 
watu wa kagera hatuhusiki na andiko hili.tangu michango yetu iliwe hatuna hamu kabisa..hatuna hata stendi ila majirani zetu wa chato wana kila kitu.kahawa zetu mzee kikwete aliziacha zipo 1800 per kg ila sasa ni 1000 per kg...Sukuma gang pambaneni ki vyenu msijumlishe kanda nzima.YATIMA HADEKI
 
Hii akili ya Sukuma Gang kwa kila andiko ni kufilisika kimawazo na ni lugha chafu ya kiubaguzi. Mimi si Msukuma ila naamini usawa na udugu tulioujenga kwa miaka mingi. Jadili hoja acha kuhamisha mjadala kwa lugha zako mfilisi za ukabila .SHAME ON YOU

Umeandika sahihi kabisa kila unachoandika ni sukuma Gang ! Wasukuma wamekua sio watu tanzania?!
 
Hii akili ya Sukuma Gang kwa kila andiko ni kufilisika kimawazo na ni lugha chafu ya kiubaguzi. Mimi si Msukuma ila naamini usawa na udugu tulioujenga kwa miaka mingi. Jadili hoja acha kuhamisha mjadala kwa lugha zako mfilisi za ukabila .SHAME ON YOU
Kuna watu hawataki kujadili hoja. Huwa wanataka kutoa mpira golini kwa kuingiza viroja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…