Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

Haya umeyaandika kwa dhati kabisa au ni kutokana na msukumo wa jina lako (Avatar) ?
 
Acheni ujinga wa kila hoja inayokinzana na uongozi wa mama kuiita"sukuma gang"Jibuni hoja.
 
Ukiangalia watu wengi waliopata daraja zero au four za mwisho form four wengi huwa ni zero IQ, japo baadaye uweza kujiendeleza anavyojua yeye. Ukiangalia historia ya siasa za nchi hii wanawake wengi na wanaume wale waliopata hizo division. wengi wao ujikomba sana kupata mkate wao wa kila siku , wengine uzidi kupanda zaidi na kushika madaraka makubwa sana lakini kichwani wako empty kabisa, wale ambao wako smart hupotezewa na kuishia kuwa wakosoaji wa mifumo.
 
Kote umeongea vizuri,Ila kwenye udini umeharibu,mbona jpm aluvyokua anateua Christian's tu Islam's hawakupiga kelele? Kwa Hilo sikuungi mkono hata kidogo,au unataka tuje na data za viongozi waliopita ambao ni Christian's?
 
Kuna watu bado hawaamini wamepigwa 'Counter Attack' …Wahuni sio watu wazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…