Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

Haya umeyaandika kwa dhati kabisa au ni kutokana na msukumo wa jina lako (Avatar) ?
 
Acheni ujinga wa kila hoja inayokinzana na uongozi wa mama kuiita"sukuma gang"Jibuni hoja.
 
Hivi rais wa nchi huwa ni "empty set" hadi ategemee ushauri toka kwa watangulizi au kundi la watu fulani? Yeye hana maono yoyote kwa taifa?
Enzi za Magufuli tulisikia anashauriwa vibawa, mara wanaomshauri wanamdanganya. Kuna wale waliotabiri kuwa Magufuli angekuwa controlled remotely from Msoga.
Leo tena mnadai mama anaendeshwa toka Msoga. Je, wote wanaoshika nafasi hii adhimu ni empty y kiasi cha kuendeshwa na mtu fulani?
Kama ni empty set, nini kifanyike ili tupate kichwa chenye kujiendesha kuongoza taifa?
Ukiangalia watu wengi waliopata daraja zero au four za mwisho form four wengi huwa ni zero IQ, japo baadaye uweza kujiendeleza anavyojua yeye. Ukiangalia historia ya siasa za nchi hii wanawake wengi na wanaume wale waliopata hizo division. wengi wao ujikomba sana kupata mkate wao wa kila siku , wengine uzidi kupanda zaidi na kushika madaraka makubwa sana lakini kichwani wako empty kabisa, wale ambao wako smart hupotezewa na kuishia kuwa wakosoaji wa mifumo.
 
Mwal.alimkataa jk ,hafai kuwa rais mzee aliona mbali Sana! jk ameighakimisha Sana hii nchi.
JK Ni shida kwa Taifa na Chama

IMG-20211206-WA0043.jpg
 
Kote umeongea vizuri,Ila kwenye udini umeharibu,mbona jpm aluvyokua anateua Christian's tu Islam's hawakupiga kelele? Kwa Hilo sikuungi mkono hata kidogo,au unataka tuje na data za viongozi waliopita ambao ni Christian's?
 
Kuna watu bado hawaamini wamepigwa 'Counter Attack' …Wahuni sio watu wazuri
 
Back
Top Bottom