simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
We jamaa unanichekeshaga [emoji23] sana kujifanya una connection eti nimesikia kitu mara nimeambiwa kitu na mtu wa ndani[emoji16],eti niliowataja wawe makini[emoji1787][emoji1787][emoji1787] you're FUNNNNNYYYYY kwakweli[emoji847]Mightier nikisema Jambo jua kuna HATARI fulani ama naiona au nimeisikia na nilichokiandika hapa nimekimaanisha na niliowataja wawe Makini na walio karibu nao ( Wasaidizi ) wawashauri.
Kauli ya kukata tamaa hii,na hii imesababishwa na kumtegemea sana binadamu mwenzenu kiasi chakumfanya yeye ni mungu wenu,sasa kafariki mnadhani maisha hakuna.Hakuna binadamu atapendwa au kuchukiwa na watu wote. Watu wa kanda ya Ziwa nikiwamo mimi hata tusipompenda au kumuongelea vizuri mama, ni sawa tu, Tanzania ina kanda nyingi, labda huko kwingine watamuongelea vyema. Kazi iendelee...
Heri Msoga irudi sababu wanajua kula na wengi,kuliko nyie Sukuma Gang mlikuwa mnakula wachache na hamkutosheka mkawa mnawapokonya wengine kidogo walichonacho.Msoga gang wamerudi on fire, tulimwona yule joka la mdimu wa goli la dk ya 89 kule akimwimbia mama mapambio kwa bashasha zote.......na kwenye kuziba pengo lililotokea hivi karibuni kuna uwezekano mkubwa member mwingine kutoka timu msoga gang akatimba ndani, hii ndo inaitwa 'return of the roman empire' tunaenda kuwa koloni la wachina....
Kabisa, yaani eti unataka Kanda ya ziwa wafurahishwe, kwanini? Tanzania ni kubwa.Kauli ya kukata tamaa hii,na hii imesababishwa na kumtegemea sana binadamu mwenzenu kiasi chakumfanya yeye ni mungu wenu,sasa kafariki mnadhani maisha hakuna.
Sent using Jamii Forums mobile app
Problem ni kwamba uwezo wako hauna ujanja zaidi ya mawazo yako ya kufikirika.Kuna hatari fulani nimeanza kuiona, kuna maneno fulani nimeanza kuyasikia na kuna Mipango fulani ya kukomoana na kuhujumiana ndani kwa ndani nimeanza kuisikia pia.
Mimi sina uhakika kuwa kwa sasa Rais Samia ni TV Screen tu ila Rais Mstaafu Kikwete ndiye Remote Control kama watu wasemavyo, ila kama hili lina Ukweli basi kuna Hatari moja Kubwa ndani ya CCM na Serikali naiona inaenda kuja (kutokea)
Na wewe Rais Mstaafu Kikwete kama ni kweli una Ushawishi mkubwa katika Utawala huu wa Rais Samia tafadhali jishtukie upesi, kaa mbali nae na mwachie Mama nae atengeneze Legacy yake kwa huongelewi vyema na Watu wa Kanda ya Ziwa hasa baada ya Tukio Kubwa nchini la tarehe 17 Machi, 2021.
Kuna Taa Nyekundu ninaiona mahala!
Huyo Mwaka huu lazima tumvishe dela na vikuku mguuni.We jamaa unanichekeshaga [emoji23] sana kujifanya una connection eti nimesikia kitu mara nimeambiwa kitu na mtu wa ndani[emoji16],eti niliowataja wawe makini[emoji1787][emoji1787][emoji1787] you're FUNNNNNYYYYY kwakweli[emoji847]
Yule jamaa wa twitter, kuna namna alikuwa anatumika na watu wa system au watu wazito kum sabotage hayati na serikali yake.....siyo bure.Kwa zile Kashfa, matusi mazito, kejeli, kuvuja kwa siri nzito za serikali kutokea sehemu ambayo huwezi dhania.
Kisha leo ghafla ukurasa uleule unageuka kuwa rafiki wa serikali mpya baada ya kifo cha Hayati Magufuli inatia mashaka sana nani ni mhusika wa ukurasa ule?
Aendelee kupumzika Shujaa wa Tanzania mpya.
[emoji1787]...eti anamuonya Mzee kikwete awe makini,hivi kweli?
Hii akili ya Sukuma Gang kwa kila andiko ni kufilisika kimawazo na ni lugha chafu ya kiubaguzi. Mimi si Msukuma ila naamini usawa na udugu tulioujenga kwa miaka mingi. Jadili hoja acha kuhamisha mjadala kwa lugha zako mfilisi za ukabila .SHAME ON YOU
Mkapa ndio alimshauri Magufuli awe anateka na kuua watu?Hata magufuli alikua anaendeshwa na mkapa.
Hakuna cha kanda ya ziwa wala kanda bongoman.[emoji3][emoji3][emoji3]Sukuma gang watulie, zama zao zimekwisha rasmi.
Hakuna cha kanda ya ziwa wala kanda bongoman.
Hebu tuwahi Zanzibar tukapokee ndege zetu mpya.
Ndio mjuwe hizi ni zama nyingine, si zama zile za kila siku jitu moja tu kwenye matukio yote na kujiona ndio ana akili kuliko watu wote.
Mimi siko kwenye timu yoyote mzee, wala simo kwenye timu yako ya chaga gang....Heri Msoga irudi sababu wanajua kula na wengi,kuliko nyie Sukuma Gang mlikuwa mnakula wachache na hamkutosheka mkawa mnawapokonya wengine kidogo walichonacho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kigenge Fulani huenda John (rip) alikidhuru sana hivyo namba ya kumsema kinahusisha wasukuma wote ingawa hata Mimi sipendi mijizi.Hii akili ya Sukuma Gang kwa kila andiko ni kufilisika kimawazo na ni lugha chafu ya kiubaguzi. Mimi si Msukuma ila naamini usawa na udugu tulioujenga kwa miaka mingi. Jadili hoja acha kuhamisha mjadala kwa lugha zako mfilisi za ukabila .SHAME ON YOU