Watu wanawachafua wasukuma wote wakati huenda john hakuwa msukuma, labda alikulia na kuishi tu huko....Kuna kigenge Fulani huenda John (rip) alikidhuru sana hivyo namba ya kumsema kinahusisha wasukuma wote ingawa hata Mimi sipendi mijizi.
Kum-consult ndiyo kum-remote control?Sio kila uvumi ni WA kutilia maamani,mengine ni upuuzi kwa hiyo unapotezea..
Hata hivyo hivyo JK ni mtu wa heshima na amefanya Kazi kubwa Tzn na ndio Mkuu wa Nchi aliyebaki kwa ushauri baada ya wengine kitangulia,hata Mwendazake alikuwa ana mconsul na hakuna tatizo hata Samia kuwa nyuma yake.
Mwisho kwani hujawahi sikia Obama yuko nyuma ya Biden? Tatizo liko wapi?
Wewe unaweza mre mote control Rais? Unaanzaje kwa mfano?Kum-consult ndiyo kum-remote control?
Unaanza Kama mshauri baadaye unakuwa mwelekezaji hasa ukipatiwa nafasiWewe unaweza mre mote control Rais? Unaanzaje kwa mfano?
Mkisema watu wa kanda ya ziwq mnamaanisha kina nani ??Leo umeongea point kubwa mwenye maskio na asikie, na hizi kejeli zinazoendelea juu ya Hayati Magufuli tujipe muda tu.
Kwa ufupi watu wa kanda ya ziwa kwa 100% wanajua ya kwamba kuna kitu kibaya kilitendeka kwa Hayati
Kama ambavyo yule wa kanda ya ziwa alifanya kitu kibaya kwa Sokoine wa kanda ya kaskazini!!!Leo umeongea point kubwa mwenye maskio na asikie, na hizi kejeli zinazoendelea juu ya Hayati Magufuli tujipe muda tu.
Kwa ufupi watu wa kanda ya ziwa kwa 100% wanajua ya kwamba kuna kitu kibaya kilitendeka kwa Hayati
Mawazo ya kijinga san haya ya kugawa watu kwa maeneo. Kwa hiyo, sasa wewe unayemtetea mama unaitwa PWANI GANG au KWERE GANG?Asante kunisaidia kuwajibu hao sukuma Gang,..kipindi cha mwenda zake walijiona wenyewe ndo vijeba😂😂😂
Ndio akina nani haoSukuma gang watulie, zama zao zimekwisha rasmi.
Hakuna cha kanda ya ziwa wala kanda bongoman.
Hebu tuwahi Zanzibar tukapokee ndege zetu mpya.
Ndio mjuwe hizi ni zama nyingine, si zama zile za kila siku jitu moja tu kwenye matukio yote na kujiona ndio ana akili kuliko watu wote.
Na nyie wapuuzi tushachoka story zenu za vijiwe vya kunywa gongo!Kuna hatari fulani nimeanza kuiona, kuna maneno fulani nimeanza kuyasikia na kuna Mipango fulani ya kukomoana na kuhujumiana ndani kwa ndani nimeanza kuisikia pia.
Mimi sina uhakika kuwa kwa sasa Rais Samia ni TV Screen tu ila Rais Mstaafu Kikwete ndiye Remote Control kama watu wasemavyo, ila kama hili lina Ukweli basi kuna Hatari moja Kubwa ndani ya CCM na Serikali naiona inaenda kuja (kutokea)
Na wewe Rais Mstaafu Kikwete kama ni kweli una Ushawishi mkubwa katika Utawala huu wa Rais Samia tafadhali jishtukie upesi, kaa mbali nae na mwachie Mama nae atengeneze Legacy yake kwa huongelewi vyema na Watu wa Kanda ya Ziwa hasa baada ya Tukio Kubwa nchini la tarehe 17 Machi, 2021.
Kuna Taa Nyekundu ninaiona mahala!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sukuma gang watulie, zama zao zimekwisha rasmi.
Hakuna cha kanda ya ziwa wala kanda bongoman.
Hebu tuwahi Zanzibar tukapokee ndege zetu mpya.
Ndio mjuwe hizi ni zama nyingine, si zama zile za kila siku jitu moja tu kwenye matukio yote na kujiona ndio ana akili kuliko watu wote.
AiseeeKuna hatari fulani nimeanza kuiona, kuna maneno fulani nimeanza kuyasikia na kuna Mipango fulani ya kukomoana na kuhujumiana ndani kwa ndani nimeanza kuisikia pia.
Mimi sina uhakika kuwa kwa sasa Rais Samia ni TV Screen tu ila Rais Mstaafu Kikwete ndiye Remote Control kama watu wasemavyo, ila kama hili lina Ukweli basi kuna Hatari moja Kubwa ndani ya CCM na Serikali naiona inaenda kuja (kutokea)
Na wewe Rais Mstaafu Kikwete kama ni kweli una Ushawishi mkubwa katika Utawala huu wa Rais Samia tafadhali jishtukie upesi, kaa mbali nae na mwachie Mama nae atengeneze Legacy yake kwa huongelewi vyema na Watu wa Kanda ya Ziwa hasa baada ya Tukio Kubwa nchini la tarehe 17 Machi, 2021.
Kuna Taa Nyekundu ninaiona mahala!
Lilikuwa linataka lionekane yeye tu kwenye MediaSukuma gang watulie, zama zao zimekwisha rasmi.
Hakuna cha kanda ya ziwa wala kanda bongoman.
Hebu tuwahi Zanzibar tukapokee ndege zetu mpya.
Ndio mjuwe hizi ni zama nyingine, si zama zile za kila siku jitu moja tu kwenye matukio yote na kujiona ndio ana akili kuliko watu wote.
Sasa akiwa muwekezaji kuna shida gani?Unaanza Kama mshauri baadaye unakuwa mwelekezaji hasa ukipatiwa nafasi
Wana hasira ile mbaya [emoji1787][emoji1787]Tatizo la nyie Sukuma Gang hamtaki kukosolewa,..ona comments zako zinavyo kuumbua
Huu utumbo ulioandika hapa wataulewa misukule ya dikteta tu labdaKwa Ubongo Uharo ulionao kamwe hutoweza kunielewa na ni vyema tu ukakaa Kimya au ukawapisha wale Brainy Members wa JF walionielewa waujadili (wajadili) sawa?
We mb-uzi jike usijifanye upo ndani ya syteam wakati we ni garasa tuMightier nikisema Jambo jua kuna HATARI fulani ama naiona au nimeisikia na nilichokiandika hapa nimekimaanisha na niliowataja wawe Makini na walio karibu nao ( Wasaidizi ) wawashauri.
Nendeni na Gwajiboy mkamfufue,maana bado hamuamini kuwa hatorudi milele huyo mungu wenuKwa zile Kashfa, matusi mazito, kejeli, kuvuja kwa siri nzito za serikali kutokea sehemu ambayo huwezi dhania.
Kisha leo ghafla ukurasa uleule unageuka kuwa rafiki wa serikali mpya baada ya kifo cha Hayati Magufuli inatia mashaka sana nani ni mhusika wa ukurasa ule?
Aendelee kupumzika Shujaa wa Tanzania mpya.