Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

Kuna kigenge Fulani huenda John (rip) alikidhuru sana hivyo namba ya kumsema kinahusisha wasukuma wote ingawa hata Mimi sipendi mijizi.
Watu wanawachafua wasukuma wote wakati huenda john hakuwa msukuma, labda alikulia na kuishi tu huko....
 
Sio kila uvumi ni WA kutilia maamani,mengine ni upuuzi kwa hiyo unapotezea..

Hata hivyo hivyo JK ni mtu wa heshima na amefanya Kazi kubwa Tzn na ndio Mkuu wa Nchi aliyebaki kwa ushauri baada ya wengine kitangulia,hata Mwendazake alikuwa ana mconsul na hakuna tatizo hata Samia kuwa nyuma yake.

Mwisho kwani hujawahi sikia Obama yuko nyuma ya Biden? Tatizo liko wapi?
Kum-consult ndiyo kum-remote control?
 
Binafsi sijaona tatizo lolote hata kama Rais Samia anaomba ushauri kwa JK, Sababu duniani kote marais walioko madarakani hawezijitenga na watangulizi wake kwakua ndio hazina ya ushauri wa mambo mbalimbali!
 
Leo umeongea point kubwa mwenye maskio na asikie, na hizi kejeli zinazoendelea juu ya Hayati Magufuli tujipe muda tu.

Kwa ufupi watu wa kanda ya ziwa kwa 100% wanajua ya kwamba kuna kitu kibaya kilitendeka kwa Hayati
Mkisema watu wa kanda ya ziwq mnamaanisha kina nani ??

Maana mimi mwenyewe natokea kanda ya ziwa ila kati ya jitu ambalo nilikuwa silipendi ni kibwengo Magu.

Sasa kama kwenye familia yenu mlilifanya mungu, usitusingizie watu wa kanda ya ziwa.
 
Leo umeongea point kubwa mwenye maskio na asikie, na hizi kejeli zinazoendelea juu ya Hayati Magufuli tujipe muda tu.

Kwa ufupi watu wa kanda ya ziwa kwa 100% wanajua ya kwamba kuna kitu kibaya kilitendeka kwa Hayati
Kama ambavyo yule wa kanda ya ziwa alifanya kitu kibaya kwa Sokoine wa kanda ya kaskazini!!!
 
Asante kunisaidia kuwajibu hao sukuma Gang,..kipindi cha mwenda zake walijiona wenyewe ndo vijeba😂😂😂
Mawazo ya kijinga san haya ya kugawa watu kwa maeneo. Kwa hiyo, sasa wewe unayemtetea mama unaitwa PWANI GANG au KWERE GANG?
 
Sukuma gang watulie, zama zao zimekwisha rasmi.

Hakuna cha kanda ya ziwa wala kanda bongoman.

Hebu tuwahi Zanzibar tukapokee ndege zetu mpya.

Ndio mjuwe hizi ni zama nyingine, si zama zile za kila siku jitu moja tu kwenye matukio yote na kujiona ndio ana akili kuliko watu wote.
Ndio akina nani hao
 
Kuna hatari fulani nimeanza kuiona, kuna maneno fulani nimeanza kuyasikia na kuna Mipango fulani ya kukomoana na kuhujumiana ndani kwa ndani nimeanza kuisikia pia.

Mimi sina uhakika kuwa kwa sasa Rais Samia ni TV Screen tu ila Rais Mstaafu Kikwete ndiye Remote Control kama watu wasemavyo, ila kama hili lina Ukweli basi kuna Hatari moja Kubwa ndani ya CCM na Serikali naiona inaenda kuja (kutokea)

Na wewe Rais Mstaafu Kikwete kama ni kweli una Ushawishi mkubwa katika Utawala huu wa Rais Samia tafadhali jishtukie upesi, kaa mbali nae na mwachie Mama nae atengeneze Legacy yake kwa huongelewi vyema na Watu wa Kanda ya Ziwa hasa baada ya Tukio Kubwa nchini la tarehe 17 Machi, 2021.

Kuna Taa Nyekundu ninaiona mahala!
Na nyie wapuuzi tushachoka story zenu za vijiwe vya kunywa gongo!

Kwani Kuna ubaya gani Kikwete akiwa mshauri wa Samia?!
Kikwete ni mbobevu kwenye diplomasia na uchumi pia, uwezi kumlinganisha Kikwet na yule kiongoz wa Awamu ya Tano ambae alivuruga uchumi wa Nchi,na uchumi wa mtu mmoja mmoja,
Aliichafua Nchi kimataifa, na karaha zingine nyingi,

Kwaiyo ni sawa tu Kikwete akiwa mshauri wa Rais wa Sasa, nyie endeleeni kuimalisha legasi ya dikteta
 
Sukuma gang watulie, zama zao zimekwisha rasmi.

Hakuna cha kanda ya ziwa wala kanda bongoman.

Hebu tuwahi Zanzibar tukapokee ndege zetu mpya.

Ndio mjuwe hizi ni zama nyingine, si zama zile za kila siku jitu moja tu kwenye matukio yote na kujiona ndio ana akili kuliko watu wote.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna hatari fulani nimeanza kuiona, kuna maneno fulani nimeanza kuyasikia na kuna Mipango fulani ya kukomoana na kuhujumiana ndani kwa ndani nimeanza kuisikia pia.

Mimi sina uhakika kuwa kwa sasa Rais Samia ni TV Screen tu ila Rais Mstaafu Kikwete ndiye Remote Control kama watu wasemavyo, ila kama hili lina Ukweli basi kuna Hatari moja Kubwa ndani ya CCM na Serikali naiona inaenda kuja (kutokea)

Na wewe Rais Mstaafu Kikwete kama ni kweli una Ushawishi mkubwa katika Utawala huu wa Rais Samia tafadhali jishtukie upesi, kaa mbali nae na mwachie Mama nae atengeneze Legacy yake kwa huongelewi vyema na Watu wa Kanda ya Ziwa hasa baada ya Tukio Kubwa nchini la tarehe 17 Machi, 2021.

Kuna Taa Nyekundu ninaiona mahala!
Aiseee
 
Sukuma gang watulie, zama zao zimekwisha rasmi.

Hakuna cha kanda ya ziwa wala kanda bongoman.

Hebu tuwahi Zanzibar tukapokee ndege zetu mpya.

Ndio mjuwe hizi ni zama nyingine, si zama zile za kila siku jitu moja tu kwenye matukio yote na kujiona ndio ana akili kuliko watu wote.
Lilikuwa linataka lionekane yeye tu kwenye Media
 
Kwa Ubongo Uharo ulionao kamwe hutoweza kunielewa na ni vyema tu ukakaa Kimya au ukawapisha wale Brainy Members wa JF walionielewa waujadili (wajadili) sawa?
Huu utumbo ulioandika hapa wataulewa misukule ya dikteta tu labda
 
Kwa zile Kashfa, matusi mazito, kejeli, kuvuja kwa siri nzito za serikali kutokea sehemu ambayo huwezi dhania.

Kisha leo ghafla ukurasa uleule unageuka kuwa rafiki wa serikali mpya baada ya kifo cha Hayati Magufuli inatia mashaka sana nani ni mhusika wa ukurasa ule?

Aendelee kupumzika Shujaa wa Tanzania mpya.
Nendeni na Gwajiboy mkamfufue,maana bado hamuamini kuwa hatorudi milele huyo mungu wenu
 
Back
Top Bottom