Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

Kweli we jamaa circuit zako za ubongo zinaitirafu ya kiumeme,majitu majinga kama nyinyi na mawazo yao mufilisi, hizi ndizo akili nyingi za kwere gang
hakuna mtu wa pwani mwenye akili za huyu kima unayebishana nae, hili ni yale mapuuzi ya huko mlimani

watu wa pwani huwezi kukuta wanazungumzia ukabila.
 
hakuna mtu wa pwani mwenye akili za huyu kima unayebishana nae, hili ni yale mapuuzi ya huko mlimani

watu wa pwani huwezi kukuta wanazungumzia ukabila.
Kweli mkuu hili jitu usikute la huko mlimani,majitu haya huwa majinga sana
 
Nchi hii tambua wasukuma ndio wanailisha,pia tambua wasukuma tunao changia asilimia kubwa uchumi wa taifa hili,## Tunataka Uhuru wetu,tunata kanda ya ziwa itambulike kama taifa huru.....
Acha upumbavu wewe! Nchi hii inalishwa na Wasukuma?? Nani kakwambia?

Chakula asilimia kubwa nchi hii kinatoka Mikoa ya Morogoro, Iringa, Njombe, Mbeya,RUVUMA, Rukwa na Katavi

Hao wasukuma wanalisha nini wakati mmekata miti yote kwenu kukame kazi kuuana tu Kwa sababu za ushirikina
 
Kweli mkuu hili jitu usikute la huko mlimani,majitu haya huwa majinga sana
hizi kenge kila kitu hua yanakiangalia kwenye angle ya ukabila

kila uteuzi unaofanyika, utasikia yanauliza ni mtu wa wapi

maraisi wote waliokua serious na nchi waliyakwepa haya majitu kwenye post za maana

maana ukiweka limoja, yatajazana yote.
 
Tunataka kanda ya ziwa mwanza, Tabora, shinyanga na simiyu Uhuru wetu, tutambulike kama nchi, tumechoka kuwa chini ya hawa mbwa kwanza sisi sio watanzania sisi ni sukuma country, tujitenge tu tuwachie maeneo mengine mjitawale...
Nenda kwenu Burundi kafanye huo ushenzi wako
 
Acha upumbavu wewe! Nchi hii inalishwa na Wasukuma?? Nani kakwambia?

Chakula asilimia kubwa nchi hii kinatoka Mikoa ya Morogoro, Iringa, Njombe, Mbeya,RUVUMA, Rukwa na Katavi

Hao wasukuma wanalisha nini wakati mmekata miti yote kwenu kukame kazi kuuana tu Kwa sababu za ushirikinany
N
Sina ubia wowote
Mkuu unaonekana na ubia na huyo mheshimiwa sana, ila angalia mkwescist gang
 
Sukuma gang watulie, zama zao zimekwisha rasmi.

Hakuna cha kanda ya ziwa wala kanda bongoman.

Hebu tuwahi Zanzibar tukapokee ndege zetu mpya.

Ndio mjuwe hizi ni zama nyingine, si zama zile za kila siku jitu moja tu kwenye matukio yote na kujiona ndio ana akili kuliko watu wote.
Haya ndio majitu yatakayogawa taifa hili, yanabwabwaja tu, hayajui impact ya maneno yao itakuwaje, Haya majitu ni hatari kwa usalama wa taifa, we jamaa unamatatizo ya kiukanda
 
Acha upumbavu wewe! Nchi hii inalishwa na Wasukuma?? Nani kakwambia?

Chakula asilimia kubwa nchi hii kinatoka Mikoa ya Morogoro, Iringa, Njombe, Mbeya,RUVUMA, Rukwa na Katavi

Hao wasukuma wanalisha nini wakati mmekata miti yote kwenu kukame kazi kuuana tu Kwa sababu za ushirikina
Wasukuma wanachofanya ni kazi ya Tractor, labda anamaanisha hilo. Maana hawana tofauti na wanyama kazi
 
Kuna hatari fulani nimeanza kuiona, kuna maneno fulani nimeanza kuyasikia na kuna Mipango fulani ya kukomoana na kuhujumiana ndani kwa ndani nimeanza kuisikia pia.

Mimi sina uhakika kuwa kwa sasa Rais Samia ni TV Screen tu ila Rais Mstaafu Kikwete ndiye Remote Control kama watu wasemavyo, ila kama hili lina Ukweli basi kuna Hatari moja Kubwa ndani ya CCM na Serikali naiona inaenda kuja (kutokea)

Na wewe Rais Mstaafu Kikwete kama ni kweli una Ushawishi mkubwa katika Utawala huu wa Rais Samia tafadhali jishtukie upesi, kaa mbali nae na mwachie Mama nae atengeneze Legacy yake kwa huongelewi vyema na Watu wa Kanda ya Ziwa hasa baada ya Tukio Kubwa nchini la tarehe 17 Machi, 2021.

Kuna Taa Nyekundu ninaiona mahala!
Samia zaidi ya kuvaa kilemba hakuna akijuacho!

Muda ufike tu akalee wajukuu!
 
hakuna mtu wa pwani mwenye akili za huyu kima unayebishana nae, hili ni yale mapuuzi ya huko mlimani

watu wa pwani huwezi kukuta wanazungumzia ukabila.
Dada kama upo kwenye 'siku' zako jaribu kula mazambarau, anyway huwezi kujifanya unaupinga ukabila huku ukiukumbatia ukabila.

Huko milimani ndiyo wapi yaan?
 
Samia zaidi ya kuvaa kilemba hakuna akijuacho!

Muda ufike tu akalee wajukuu!
Lakini tumwombee mema kwa Mungu, ili ajaribu kujiepusha na msoga gang, maana hadi akiondoka bado tu tutakuwa katika hali mbaya zaidi
 
hizi kenge kila kitu hua yanakiangalia kwenye angle ya ukabila

kila uteuzi unaofanyika, utasikia yanauliza ni mtu wa wapi

maraisi wote waliokua serious na nchi waliyakwepa haya majitu kwenye post za maana

maana ukiweka limoja, yatajazana yote.
I bet shujaa alivunja records kwa kuweka washamba katika cabinet..wapiga pambio hadi waosha 'masufuria' kwenye ziara zake
 
Si wangemuacha hata chenkapa,

Kosa lake ni kumpigia debe yule jamaa ndo iwe hivo kweli........!

Mkuu fungua code kidogo Baba tuliambiwa Chenkapa alikufa Kwa moyo kama nakumbuka
 
Back
Top Bottom