Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

Uvumi kuwa Mzee Kikwete yupo nyuma ya Uongozi wa Rais Samia unaweza kuwa Kikwazo cha Ufanisi na chanzo cha kuhujumiwa kwake

Sukuma gang watulie, zama zao zimekwisha rasmi.

Hakuna cha kanda ya ziwa wala kanda bongoman.

Hebu tuwahi Zanzibar tukapokee ndege zetu mpya.

Ndio mjuwe hizi ni zama nyingine, si zama zile za kila siku jitu moja tu kwenye matukio yote na kujiona ndio ana akili kuliko watu wote.

Kwahiyo hatuendi tena Chato ✈️
 
Inaonekana hiyo statement ndo umetoka kukaririshwa sasa imekuwa tabu kila comment unaishi nayo.

Pia sina muda sana wakkujibizana na watu dizaini yako maana kazi ni nyingi za kufanya hatushindi humu kama ilivyo kwako mkuu.
Mbona umenijibu kama unamambo mengi, mbona unajitekenya alaf unajicheka???
 
Kuna hatari fulani nimeanza kuiona, kuna maneno fulani nimeanza kuyasikia na kuna Mipango fulani ya kukomoana na kuhujumiana ndani kwa ndani nimeanza kuisikia pia.

Mimi sina uhakika kuwa kwa sasa Rais Samia ni TV Screen tu ila Rais Mstaafu Kikwete ndiye Remote Control kama watu wasemavyo, ila kama hili lina Ukweli basi kuna Hatari moja Kubwa ndani ya CCM na Serikali naiona inaenda kuja (kutokea)

Na wewe Rais Mstaafu Kikwete kama ni kweli una Ushawishi mkubwa katika Utawala huu wa Rais Samia tafadhali jishtukie upesi, kaa mbali nae na mwachie Mama nae atengeneze Legacy yake kwa huongelewi vyema na Watu wa Kanda ya Ziwa hasa baada ya Tukio Kubwa nchini la tarehe 17 Machi, 2021.

Kuna Taa Nyekundu ninaiona mahala!
Haya ni mawazo ma tako kabisa na ni ya watu ambao mawazo yao ni ya kupumbavu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kumbuka na wewe utakufa tu,kifo hakikwepeki , usione furaha kwa mwanadamu mwenzako kutangulia mbele za haki lakini kumbuka kifo ni siri kubwa
Lilivyo Pumbavu na Mwehu lenyewe linadhani na linajidanganya kuwa halitokufa bali litaishi Milele wakati huenda hata Siku zake za Kutuaga hapa duniani zikawa zinakaribia.

Cc: Matola
 
Back
Top Bottom