Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Naongeza hapo, Sera ziheshimiwe 🤒Chini ya kauli mbiu ongeza "Usimuhurumie mwanamke"
Labda wewe tu nusu albinoo 😃🤣Hao viongozi wakikonyezwa tu kwisha habari
😂 mi mgumuWe h
Labda wewe tu nusu albinoo 😃🤣
Tayari vyama vime ungana😃, dronedrake ata sema hilo.CHAPUTA WAUNGANE NA UWABATA NA KUUNDA CHAMA KIMOJA KIKUU
Wote mko hivyo, mnafurahisha sana.Tupo pamoja wakuu ila Tayana-wog akinisogelea tu mi nawakimbia masela
We kichwa maji tulia 😆Nakuona afisa habari wa chama chenu,umeleta habari.🤣
Sera ni Kuna hela naisikilizia😃Wote mko hivyo, mnafurahisha sana.
Huku kelele kibao, huko kwingine busu moja la forehead pesa ya saloon umetoa.
Dah una yumba katibu😆, okoa kibunda chako.Tupo pamoja wakuu ila Tayana-wog akinisogelea tu mi nawakimbia masela
We si mganga wa chama 😃🤣, una walinda viongozi wasi guswe😃mweka hazina mmenisahau au nijivue madaraka 🤣🤣