Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #41
Ko sisi tuko chechniya au😆😃🤒[emoji23][emoji23][emoji23] uzuri wanaume wa JF sio hawa wa mtaanii..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ko sisi tuko chechniya au😆😃🤒[emoji23][emoji23][emoji23] uzuri wanaume wa JF sio hawa wa mtaanii..
Mpenzi hasomeshwiKutokana na malalamiko ya wanaum e Humu jf, nimeona ni Bora kufungua Uzi huu ili kuweza kuwapa nafasi ya kutoa malamiko yao.
Lengo la chama hiki ni kukumbushana misimamo na misingi ya chama chetu.
👉 Mwenyekiti ni Natafuta Ajira, katibu Mjanja M1.
👉Katibu mwenezi wa sera za chama ni dronedrake.
View attachment 2873542
Kumbe!basi nawakimbia🤣Sio uli pitia taarifa, sema uli kuwa una practice kabisa😆😃
Na hii nitakuwa naitumia kwa kila uzi wa kiwaki😁😁😁Dah na Alie kufundisha hizo meme, kakuroga 😆😃
We ndio mwenyekiti wa Hii Foundation?Dah una yumba katibu😆, okoa kibunda chako.
[emoji1] et chechniyaKo sisi tuko chechniya au[emoji38][emoji2][emoji855]
😁😁my love umenichekesha sana😁
Mwenyekiti ni Natafuta Ajira, Mimi ni msemaji wa chama tu😆We ndio mwenyekiti wa Hii Foundation?
Watasema tu😃🤒[emoji1] et chechniya
Spokesperson😆😆😆Mwenyekiti ni Natafuta Ajira, Mimi ni msemaji wa chama tu😆
Na siku zote mjumbe Hana makosa😃Spokesperson😆😆😆
Yeye anakuwa kipaza sauti tu.Na siku zote mjumbe Hana makosa😃
Ngoja niweke pale mwanzoni😃🤒
We ni ndumila kuwili😃, coz haelewekii misimamo yako😆🤒Kumbe!basi nawakimbia🤣
Sijui hii ndio Iwe Slogan yetu?
Na itadumu daima💪🤒HII UMEEENDA
Naiweka pale mbele😆🤒Sijui hii ndio Iwe Slogan yetu?
Shika pesa zako kijana Fanya maendeleo. Okoa afya ya akili.