UWABATA- Umoja wa wanaume bahili Tanzania

UWABATA- Umoja wa wanaume bahili Tanzania

Screenshot_20240116-142147_1.jpg
☝🏿neno moja kwa huyu mbwa
 
Sema Kuna ile mnaelewana na mtu wako vzr mnayajenga unampiga miti mnatoka outings ndogo ndogo hata kama ni marangu ina Raha yake bn🤔na katiba ya UWABATA inaruhusu
Raha sana mkuu, waliokwisha ku experience true love wanaelewa.

Ila kina Natafuta Ajira ambao kutwa wanakutana na wezi wenzao hawawezi kutuelewa.
 
Back
Top Bottom