Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Huu uzi unadalili ya kudumu milele 😍😍Kutokana na malalamiko ya wanaum e Humu jf, nimeona ni Bora kufungua Uzi huu ili kuweza kuwapa nafasi ya kutoa malamiko yao.
Lengo la chama hiki ni kukumbushana misimamo na misingi ya chama chetu.
👉 Mwenyekiti ni Natafuta Ajira, katibu Mjanja M1.
👉Katibu mwenezi wa sera za chama ni dronedrake.
View attachment 2873542
View attachment 2873572