Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #101
I mean no malice to nobody 🤒dogo achashobo nachat na demu wangu SAWA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I mean no malice to nobody 🤒dogo achashobo nachat na demu wangu SAWA?
I mean no malice to nobody,oya achashobo☹️☹️
Hapana, okoa kibunda chako.Mbinu za utajiri ni ubahiri, ila nikwamhie tu kama hujaoa ubahiri utaku dronedrake . Ila dada poa si tunaruhusiwa ndugu mwenyekiti?
Kaka waendelee kunifilisi tu To yeye kanikatazaCharles kilian una jiunga au ndo wata endelea kuku filisi 😁🤒
mjeda fwala tu sasa hvi niko buza buzani nakula videge jonii tu na hela zangu za mafao za madagascarfundi bishoo vipi Usha enda Madagascar, au bado una windana na mwanajeshi😁😁
Asante sana kwa kunikaribisha hapa. Mimi kama mwenyekiti hili suala nitapambana nalo usiku na mchana bila kuchokaMwenyekiti Natafuta Ajira una lipi la kusema kwa wanachama wako!?
Leo kawa bwege😃, si nasikia uli mkimbia morogoro 🤣😁mjeda fwala tu sasa hvi niko buza buzani nakula videge jonii tu na hela zangu za mafao za madagascar
Aloooh, hii kampeni itatuokoa sana vijana dhidi ya umasikini wa kujitakia.Hapana, okoa kibunda chako.
👉 Subiri wakati sahihi 😁😁🤒
Barikiwa mwenyekiti wa chama Cha uwabata 🙏💪💪.Asante sana kwa kunikaribisha hapa. Mimi kama mwenyekiti hili suala nitapambana nalo usiku na mchana bila kuchoka
Hawa kausha damu ni nguvu kazi ambayo inabidi iwe utilized kwa maendeleo ya taifa na sio kuishi kwa kuombaomba na kudanga. Wadangaji wote wanatakiwa kuwa jela kwa sababu nchi hii hairuhusu biashara ya ngono.
Najua kuna wanaume madomo zege,wazee wastaafu na wasiojiamini wanatumia pesa kuficha udhaifu wao yaani ukiondoa pesa habakiwi na character yoyote ya mwanaume, hawa hatuwezi kuwatupa tutawapa somo mpaka waelewe.
Namalizia kuandaa amri kuu za UWABATA na nitazileta hapa. Nasema haya makausha damu nitayapiga kama mambwa mpaka yaite maji mma, pumbavu kabisa.
Dah una yumba Sana, adhabu ya msaliti ni kukatwa shingo tu😁Mimi nitakuwa mvunja sheria wa chama
PAPUCHI HAS NO CURE
Ohh, ujue mi msemaji tu😁.Yeye si kajiunga kwa Uwabata acha avune alichopanda
Niko bizze pm 😁😁
Mtu yuko Uwabata bado hataki wengine mjidai 😁😁na anawivu kishenzi😁😁
Hatu husiki na Sera hizo, sisi ni uwabata for life 🤣😁🤒Sawa tulikubaliana hakuna kuhonga.
Ila kilichonikuta kwa Fatuma hadi nimempa kiwanja.
Ni siri yangu tu najuwa hata angekuwa mwenyekiti mwenyewe asingechomoka kwa huyo mtoto!
NAKAZIAAA
Yule mtoto jambazi.
Niwaulize tu kidogo humu ndani hivi ni nani kati yenu anaijuwa style ya
INGIZA KAMA UNAINGIA MWAKA MPYA NA UKATE KAMA JUNUARY?
Yame kuwa hayo tena 😁na anawivu kishenzi😁😁