A
Anonymous
Guest
Ni miezi 6 sasa nafuatilia usajili wa kikundi chetu kwa mkuu wa wilaya ya kinondoni chini ya wizara ya mambo ya ndani.
Kila nikienda nipate majibu wananiambia taarifa zetu hazijarudi na hawajui ni lini zitarudi tumeamua kusajili kwa njia ya mtandao online tumelipia elfu 50 ya fomu ya huduma ni mwezi wa pili unaingia kila ukilogin kufuatilia hali ya huduma unakuta analysis and examination na hapo usajili bado sas hatuelew ni nini kifanyike hapo