Uwanja mkubwa wa mpira Chato wa nini?

Mkoa mzuri hauwezi kuwa mara penye watu wa ajabu
Ukeketaji- Mara
Ubabe - Mara
Unyanyasaji wa jinsia-Mara
Wizi-Mara
Sifa ya uzuri hakuna
 
Wenye akili hawajisifii. Yawezekana ukawa wa kwanza kwa darasa la vilaza watupu. Tulia mkuu acha kujikweza km mzee Meko. Tujadiliane kwa staha tu sio mashindano ya eti mi nilipata div. 1 ya point7. Useless.

Kuna mahala nimesema au kutaja Matokeao yangu Kitaaluma? Halafu ni nani aliyekudanganya kuwa Mtu akiwa anafanya vyema Kitaaluma basi ndiyo Mwerevu / Kipanga? Hivi ni kwanini mnakuwa ' Mapopoma ' hivi? Kwa Kukusaidia tu sasa Uwerevu / Ukipanga wa Mtu ' Logically ' huwa haupimwi kwa anavyofaulu Darasani pekee bali kuna Mjumuisho wa mambo kadhaa hasa ya Kimaarifa zaidi, Ujengaji wake wa Hoja na Uwezo wake wa Kuchambua mambo / vitu. Na ndiyo maana huwa nawaambia hamna Akili halafu mnanikasrikia wakati kumbe huwa nakuwa kweli kwa 99.9999%.
 
Wewe Genius ?
Hhhhhhh aisee
Kama hapo jirani kuna kituo cha afya fika muone daktari
Unaweza kuwa na Malaria Kali au kichwa kinauma sana
 
Katika suala la michezo siwezi kuongea kisiasa.

Hili la ujenzi wa uwanja nimelibariki kwa baraka zote maana kila mtu atakuwa na haki ya kutumia uwanja ule na mechi za kimataifa zitaenda pale.

Uwanja wa michezo kwangu mimi naona ni zaidi ya Ndege.

Wewe unaweza kuongea lipi mkuu
 

Nakupa ONYO KALI la Mwisho tafadhali kama Wewe unajijua kabisa kuwa hutokei haya Makabila Makubwa ya ' Watani ' zangu Wahaya ( Kagera ), Wanyaturu ( Singida ), Waha ( Kigoma ), Wanyiramba ( Singida ), Wakara ( Ukerewe Mwanza ) na Warangi ( Kondoa Dodoma ) naomba uache ' Kunichokoza ' kwani huenda nikakupa Jibu ambalo litakufanya unichukie Maisha yako yote tafadhali. Kama unatokea hayo Makabila tajwa hapo juu basi sawa nakuruhusu unichokoze na unitanie uwezavyo ila tofauti na hapo ' nitakuraruararua ' Mkuu.
 

Kwanini usijengwe kijijini kwenu sasa mkuu.
 
Be careful Noah nyeusi itakuhusu,!!
 
Hahahaaaaa bhita ni bhita muraaaaa
 
Uwanja wa mpira unalinganisha na SGR.. Hivi kweli vinaendana? Atasema Simba na Yanga au mechi zingine za kimataifa zitachezwa hapo lakini watu watalala Mwanza au Dar au kwingine wanakotaka kwa sababu kuna uwanja mkuwa wa ndege! Lakini kiuchumi hii inapaswa kuwa kipaumbele chetu?
 
Wewe Genius ?
Hhhhhhh aisee
Kama hapo jirani kuna kituo cha afya fika muone daktari
Unaweza kuwa na Malaria Kali au kichwa kinauma sana

Kheri Mimi mwenye hiyo Malaria Sugu ila Wewe una dalili zote za ' Bipolar Disorder ' hivyo wahi ' Matibabu ' yako haraka tafadhali.
 
Wewe ingekuwa ardhi takatifu adi leo tungeshalipwa malimbikizo yetu
Tunataka Rais wetu awe anacheza mpira kama Pierre Nkurunzinza.
Halafu Chato ni lazima kupewe kipaumbele kuliko sehemu nyingine yoyote, Chato ni ardhi takatifu
 
Madhara ya kunywa chai ya pili pili kwa kitafunwa cha Tangawizi. Mkuu umepanic sn vp? Freeze man!
 
Kumbe wajinga mpo wengi sana?
 
Madhara ya kunywa chai ya pili pili kwa kitafunwa cha Tangawizi. Mkuu umepanic sn vp? Freeze man!

Kuwaelimisha ' Mapopoma ' kama Wewe na Wenzako baadhi huwa ni moja ya Kazi yangu hasa niwapo hapa na ninaifurahia.
 
Kheri Mimi mwenye hiyo Malaria Sugu ila Wewe una dalili zote za ' Bipolar Disorder ' hivyo wahi ' Matibabu ' yako haraka tafadhali.
Mkoa wa mara umetajwa kuongoza kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa asilimia 78 hali iliyosababisha hofu kubwa kwa wakina mama,wazee na watoto kutokana na mira kandamizi ya kupora mali ikiwemo ardhi,kuozesha watoto wadogo kwa nguvu,kukithiri kwa vitendo vya ukeketaji,utumikishaji watoto majumbani,vipigo kwa wanawake na wazee kutokana na ukwiukwaji wa sharia za nchi na haki za binadamu.

Up sound…..Mkoa wa Mara wenye makabila 26 umetajwa kuwa na ongezeko la vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa kiwango kikubwa ikiwemo walimu kuwabaka wanafunzi,kuwapa adhabu za kuvuna mtama wakitumia mdomo na wakinamama kuporwa ardhi kama anavyobainisha mkuu wa wilaya ya Bunda mwl.Lidia Bupilipili katika kampeni ya kuhamasisha jamii kuamsha ari ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake,wazee na watoto.

Kwa upandewake mkurugenzi mtendaji wa shirika la kutetea haki za wanawake na watoto KIVULINI Bw.Yasin Ali ameiomba serikali kudhibiti michezo ya kamali na utazamaji wa video usiku wa manane hali inahatalisha maisha ya mtoto huku walimu wakibainisha jinsi wazazi wanavyotumia nguvu kubwa kuozesha watoto wao.
 

Ratiba yako ya ' Kunyabelika ' kwa Siku ya leo inasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…