Uwanja mkubwa wa mpira Chato wa nini?

Fujo isiyo umiza siwezi kuumizwa na matusi na siwezi kukuchukia kwasababu umenitukana ukiona una haja
Mwisho wa yote mimi natokea mkoa wa Kagera.


Mkoaa umetajwa kuongoza kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa asilimia 78 hali iliyosababisha hofu kubwa kwa wakina mama,wazee na watoto kutokana na mira kandamizi ya kupora mali ikiwemo ardhi,kuozesha watoto wadogo kwa nguvu,kukithiri kwa vitendo vya ukeketaji,utumikishaji watoto majumbani,vipigo kwa wanawake na wazee kutokana na ukwiukwaji wa sharia za nchi na haki za binadamu.

Up sound…..Mkoa wa Mara wenye makabila 26 umetajwa kuwa na ongezeko la vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa kiwango kikubwa ikiwemo walimu kuwabaka wanafunzi,kuwapa adhabu za kuvuna mtama wakitumia mdomo na wakinamama kuporwa ardhi kama anavyobainisha mkuu wa wilaya ya Bunda mwl.Lidia Bupilipili katika kampeni ya kuhamasisha jamii kuamsha ari ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake,wazee na watoto.

Kwa upandewake mkurugenzi mtendaji wa shirika la kutetea haki za wanawake na watoto KIVULINI Bw.Yasin Ali ameiomba serikali kudhibiti michezo ya kamali na utazamaji wa video usiku wa manane hali inahatalisha maisha ya mtoto huku walimu wakibainisha jinsi wazazi wanavyotumia nguvu kubwa kuozesha watoto wao.
 
Ukiagiza Chai unapewa Chai na kamwe si Pilipili.

Mimi sijakupa chai nimetaka akili yako uishughulishe iwaze. Chato unapajua? Ushawah kufika? Je panafaa kujengwa uwanja mkubwa kama huo wa kuwa kama wa taifa au zaid ya taifa. Je kwanini iwe chato isiwe kwenye wilaya zingine. What if ungejengwa tandahimba, maswa, mlele, ukerewe and the like?
 
Naomba kuelimishwa kidogo na Mimi.....

Economics;
lies on art/scientific ways of allocating scarce resources in efficient and effective manner to yield as much optimal results possible.

Needs/Wants, Resources, Priorities, Budget

Back to the topic, mi naona kiwango Cha fedha kujenga uwanja Chotto, kingetumimika kuwekeza kwenye kujenga kiwanda/viwanda (2/3)vya kuchakata mazao ya kilimo vikapewa hata grace period ya miaka 10, zaidi 60% ya wana Chato wangenufaika kwa haraka kwa kupata
*soko la uhakika la mazao ya kilimo+(matunda/mifugo) ambavyo vinapatikana kwa wingi huko,
*Ajira mpya za moja kwa moja viwandani, sisikuwa za moja kwa moja,
*Kupunguza watu kuondoka kwenda kutafuta Misha miji mingine na kuvutia watu wa miji mingine kuja kutafuta fursa mpya chato
*Watu vipato vyao vitaimalika na uwezo wao wa kununua bidhaa na huduma nyingine kuwa mkumbwa hivyo serikali kukusanya Kodi zaidi,watu kupunguza utegemezi kwa serikali keep baadhi ya huduma (afya,elimu,Maji na nk) wataweza kuzilipia hata private sector.

Tuendeleze nchi yetu(mikoa/wilaya au Kanda)kwa ku exploit resources (watu wengi wa maneo hayo wanafanya nini Kama shughuri kuu kiuchumi), kuplan mikakati ya kuja na miradi ya kukuza vipato vya watu Hawa kwa wao kuendelea kufanya kile wachofanya kwa tija na kitaalamu... Na nijukumu la serikali kuhakikisha Kila eneo/Kona/mkoa/wilaya/Kanda nchi zinaendelea kwa watu wake kuwa vipato vya uhakika kujiweza/kuboresha maisha yao na kuweza kuchangia katika Pato la taifa.

Tupunguze kufikiria kwa nadharia za kijamaaa wakati kiuhalisia maisha yetu na uchumi wetu zinaenda kipepari(market forces/nguvu ya soko), mfano wadau wengi hapo juu wameorodhesha faida za kujenga uwanja wa mpira chato, ila Kama watu wa kule vipato viko chini viingilio hata vikiwa buku tatu chato fc na njombe mji uwanja hauta pata watu wa kutosha......

US imewekeza Sana kwenye kujenga vipato vya wamarekani, China,EU,Russia, Japan na nchi karibu zote duniani zinataka kwenda kuuza bidhaa zao US, China inanyanyashwa na US kwa kulimwa tarrifs Kila siku Hadi wanalalamika same to EU, Mexico na n.k, kwanini nchi zisingejikita kujaribu kuta kuuza bidhaa zao China,India,Japan, Russia,Brazil, au nchi nyingine zozote zile duniani yenye watu wengi!!!?

Kama hakuna soko, HAKUNA biashara....
 
Naona uzi wangu umehama kabsa! Bring back my thread!!!
 
Be careful Noah nyeusi itakuhusu,!!

Waafrika na watawala wetu tuna njia ndefu sana masikini ya Mungu. Watu wanahoji mchakato wa kuamuarasilimali zetu tunazipeleka nyanja gani za maendeleo anatishiwa kutekwa na kuuawa, daaaah!

Yani mnajua kwamba mnachemka sana kwenye ku govern hizi nchi, na mawazo huru ya kuwakosoa yanatishia tawala zenu, ili kubaki madarakani mko tayari kufanya brutality kwa wananchi wenu, ubinadamu wenu uko wapi???
 
Anainua biashara ya kijijini kwake, ndio mana anajenga na mahotel. Anaota siku moja tutaenda kujaza kiwanja na kulala kwenye Hotel zake za Chato.
 
Hivi Tanzania Mpira wa Miguu ndio mchezo tu wa kujengewa Viwanja?
 
Very good, angalau ww umeeleza na kunyambua vzr. Labda watani zangu akina ngosha watakuelewa
 
We ni Me au Ke
 
Hilo dimba linajengwa lini na litakuwa na uwezo kiasi gani?

Acha ujengwe as long as unaongeza idadi ya viwanja vikubwa, ukijengwa huo na Dodoma pale tutakuwa na stadiums nne kubwa zilizo za kisasa....
 
Naomba msaada uzi wangu huu uonekane pia jukwaa la siasa. Kule kila nikiandika wanakata. Yani ni Ka....taa!
 
Typical Africans, HISIA wameweka mbele kuliko UHALISIA..

Kuna timu ngapi za mpira huko CHATO,? Kwanini viwanja visianze kujenga Mikoa ambayo iko mbele kimichezo?

Sifa, mihemko, woga, maamuzi mabaya, maamuzi ya hisia ndio mambo yanayoturejesha nyuma nchi za Africa chini ya Jangwa la Sahara..

Kwa ufupi CHATO sio sehemu ya kujenga kiwanja kikubwa kama hicho..

Mabutu Seseseko wa Zabanga alijaribu kujenga kwako lakini hivi sasa nyumba zimekuwa MAGOFU, kiwanja cha ndege kimekuwaa mbuga ya wanyama..

Let's think real, Bro..
 
Ninegundua huku nako kuna mazwazwa wengi sana.. ni hv chato hakuna mzunguko mkubwa wa namna hio... naunga mkono hoja ungejengwe wa kawaida.. tofauti na hapo ni hasara tu.. maamuzi ya kukurupuka
 
Rubish,... kuna mchezo gani maarufu unatamba huko CHATO, kuna mchezaji gani maarufu anatokea CHATO..
 
Ziba masikio baba.Zile 5 star hotel tano karibu na burigi zijengwe fasta.Utafiti wa mafuta na gas ufanyike huko na ikiwezekana na viwanda vya mbolea na korosho ilimwe huko.Hata ikiwezekana Tanzania ifutwe jina iitwe Chato kubeba jina.Lijengwe bonge la Cathedral huko.Ujengwe ukumbi wa kimataifa pia.

Safi sana.Hahahah
 
Vipi vyama vya upinzani wataruhusiwa kuukodisha ili kufanya mikutano yao ya kisiasa ?
Nalog off
 
Hata hapajui unapoteza muda bure
 
Ndio Chato hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…