Uwanja mkubwa wa mpira Chato wa nini?

Uwanja mkubwa wa mpira Chato wa nini?

Kuna Watu ni ' Mapopoma ' hapa duniani hadi najiuliza ni kwanini hata Mwenyezi Mungu alipoteza muda wake muhimu Kuwaumbeni. Uwanja wa Mpira haujengwi kwa Kigezo cha eneo husika kuwa mbali au kwamba halina Watu wengi au halina Michezo. Ujenzi wa Uwanja unaweza ukawa sasa ndiyo chachu kubwa ya muamko wa Kimichezo katika eneo husika lakini pia Ujenzi wa huo huo Uwanja unaweza pia kuwa ni Chanzo cha Mapato kwa Halmashauri na Serikali husika ya Mkoa. Kama haitoshi Uwanja huo huo mkubwa wa hapo unaweza kuwa ni Chanzo cha Kiuchumi hasa kwa Wakazi kwani wanaweza wakawa wanauza bidhaa zao pale Michuano ikiwa inachezwa hapo. Baada ya Ujenzi wa huo Uwanja wenye Mamlaka nao wanaweza wakawa wanautumia kwa Kuukodisha kwa Timu Kubwa Kubwa nchini au hata wakawa Wanaandaa Mashindano ambayo yatazikutanisha hizi Klabu Kubwa hivyo Mapato Kuongezeka lakini hata na Hamasa ya Kimpira na Kimichezo eneo husika nayo ikaongezeka. Na Viwanja havijengwi kwa matumizi tu ya sasa basi Viwanja vinajengwa hata kwa matumizi ya baadae na kwa Vizazi vijavyo. Na Kinachofanya Uwanja Kujaa siyo Watu ( Wakazi ) husika wa hapo bali ni ' Hamasa ' na ' Mwamko ' unaojengwa na Wahusika wa Kimichezo kutokana na Mipango yao waliyonayo katika Kuendeleza Mchezo wa Mpira wa Miguu hapo. Na hakuna mahala popote pale nchini Tanzania pameandikwa kwamba ndiyo pawe na Uwanja wa Mpira na pengine pasiwepo. Umeleta Mada hii Kiuanaharakati / Kisiasa zaidi kwakuwa tu una Chuki zako na Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli kwa kuwa nae anatokea hilo eneo la Chato na huenda pia na Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) na hii Serikali ila nina uhakika Uwanja huu huu ungesikia Unajengwa eneo jingine wala usingekuja na haya ' Majungu ' yako. Kwani sehemu atokayo Rais ikiwa na Maendeleo ni Kosa au Dhambi? Mnafiki na Mshamba mkubwa Wewe!
Sio kosa lako. 1.Elimu 2.Elimu. 3. Elimu
 
Ndo yale yale ya kutaka kusikia kila kitu kinafanyika dar ndo mfurahi wacha magufuli afanye yake ilimradi hajavunja sheria maana huo uwanja unajengwa ndani ya tanzania.
Na siku zote mwamba ngoma uvutia upande wake. Jiulize uwanja wa mpira wa kaitaba bukoba una mkeka safi lakini kaitaba haipo ndani ya jiji. Je ni majiji mangapi hapa tanzania ina viwanja vya mpira lakini havina nyasi bandia? Nadhani utajua ni kwann kaitaba waliwekewa mkeka safi na hakuna mtu alielalamika maana alieshikilia mpini kwa wakati huo alikuwa anajulikana.
Usiropoke, kama hujui kaa kimya. Kaitaba ni uwanja unaomilikiwa na Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba na ndo wameweka nyasi bandia. Usihusishe huo uwanja na mtu yeyote!
 
Kuna Watu ni ' Mapopoma ' hapa duniani hadi najiuliza ni kwanini hata Mwenyezi Mungu alipoteza muda wake muhimu Kuwaumbeni. Uwanja wa Mpira haujengwi kwa Kigezo cha eneo husika kuwa mbali au kwamba halina Watu wengi au halina Michezo. Ujenzi wa Uwanja unaweza ukawa sasa ndiyo chachu kubwa ya muamko wa Kimichezo katika eneo husika lakini pia Ujenzi wa huo huo Uwanja unaweza pia kuwa ni Chanzo cha Mapato kwa Halmashauri na Serikali husika ya Mkoa. Kama haitoshi Uwanja huo huo mkubwa wa hapo unaweza kuwa ni Chanzo cha Kiuchumi hasa kwa Wakazi kwani wanaweza wakawa wanauza bidhaa zao pale Michuano ikiwa inachezwa hapo. Baada ya Ujenzi wa huo Uwanja wenye Mamlaka nao wanaweza wakawa wanautumia kwa Kuukodisha kwa Timu Kubwa Kubwa nchini au hata wakawa Wanaandaa Mashindano ambayo yatazikutanisha hizi Klabu Kubwa hivyo Mapato Kuongezeka lakini hata na Hamasa ya Kimpira na Kimichezo eneo husika nayo ikaongezeka. Na Viwanja havijengwi kwa matumizi tu ya sasa basi Viwanja vinajengwa hata kwa matumizi ya baadae na kwa Vizazi vijavyo. Na Kinachofanya Uwanja Kujaa siyo Watu ( Wakazi ) husika wa hapo bali ni ' Hamasa ' na ' Mwamko ' unaojengwa na Wahusika wa Kimichezo kutokana na Mipango yao waliyonayo katika Kuendeleza Mchezo wa Mpira wa Miguu hapo. Na hakuna mahala popote pale nchini Tanzania pameandikwa kwamba ndiyo pawe na Uwanja wa Mpira na pengine pasiwepo. Umeleta Mada hii Kiuanaharakati / Kisiasa zaidi kwakuwa tu una Chuki zako na Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli kwa kuwa nae anatokea hilo eneo la Chato na huenda pia na Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) na hii Serikali ila nina uhakika Uwanja huu huu ungesikia Unajengwa eneo jingine wala usingekuja na haya ' Majungu ' yako. Kwani sehemu atokayo Rais ikiwa na Maendeleo ni Kosa au Dhambi? Mnafiki na Mshamba mkubwa Wewe!
Njaa mbaya sana
 
Najiuliza tu,
1. Waliofanya uamuzi wa kujenga uwanja mkubwa Chato walizingatia vigezo gani? Yaani kwanini Chato na si sehemu nyingine tu?
2. Isingekuwa mkulu hatoki Chato bado wangefikiria kufanya uamuzi huo?

Ni bahati mbaya sana huwa sijibu Maswali ya ' Kipumbavu / Kipopoma ' kama haya. Na acha kunipotezea muda wangu tafadhali.
 
Kuna Watu ni ' Mapopoma ' hapa duniani hadi najiuliza ni kwanini hata Mwenyezi Mungu alipoteza muda wake muhimu Kuwaumbeni. Uwanja wa Mpira haujengwi kwa Kigezo cha eneo husika kuwa mbali au kwamba halina Watu wengi au halina Michezo. Ujenzi wa Uwanja unaweza ukawa sasa ndiyo chachu kubwa ya muamko wa Kimichezo katika eneo husika lakini pia Ujenzi wa huo huo Uwanja unaweza pia kuwa ni Chanzo cha Mapato kwa Halmashauri na Serikali husika ya Mkoa. Kama haitoshi Uwanja huo huo mkubwa wa hapo unaweza kuwa ni Chanzo cha Kiuchumi hasa kwa Wakazi kwani wanaweza wakawa wanauza bidhaa zao pale Michuano ikiwa inachezwa hapo. Baada ya Ujenzi wa huo Uwanja wenye Mamlaka nao wanaweza wakawa wanautumia kwa Kuukodisha kwa Timu Kubwa Kubwa nchini au hata wakawa Wanaandaa Mashindano ambayo yatazikutanisha hizi Klabu Kubwa hivyo Mapato Kuongezeka lakini hata na Hamasa ya Kimpira na Kimichezo eneo husika nayo ikaongezeka. Na Viwanja havijengwi kwa matumizi tu ya sasa basi Viwanja vinajengwa hata kwa matumizi ya baadae na kwa Vizazi vijavyo. Na Kinachofanya Uwanja Kujaa siyo Watu ( Wakazi ) husika wa hapo bali ni ' Hamasa ' na ' Mwamko ' unaojengwa na Wahusika wa Kimichezo kutokana na Mipango yao waliyonayo katika Kuendeleza Mchezo wa Mpira wa Miguu hapo. Na hakuna mahala popote pale nchini Tanzania pameandikwa kwamba ndiyo pawe na Uwanja wa Mpira na pengine pasiwepo. Umeleta Mada hii Kiuanaharakati / Kisiasa zaidi kwakuwa tu una Chuki zako na Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli kwa kuwa nae anatokea hilo eneo la Chato na huenda pia na Chama Cha Mapinduzi ( CCM ) na hii Serikali ila nina uhakika Uwanja huu huu ungesikia Unajengwa eneo jingine wala usingekuja na haya ' Majungu ' yako. Kwani sehemu atokayo Rais ikiwa na Maendeleo ni Kosa au Dhambi? Mnafiki na Mshamba mkubwa Wewe!
Katika mji wa Gbadolite alikotoka, Rais Mobutu Sese Seko alijenga kasri kubwa la kifahari na uwanja wa ndege ambao ndege za kusafirisha bidhaa za anasa kama vile mvinyo ghali kutoka Ulaya zilitua na kupaa.

Njia ya kutumiwa na ndege kupaa na kutua katika uwanja huo ilikuwa kubwa kiasi cha kuweza kutumiwa na ndege kubwa ya wakati huo Concorde - ambayo aliikodi mara kwa mara.

Lakini alipotimuliwa madarakani mwaka 1997, kila kitu kilisimama. Sasa ni mahame.
 
Sioni maana sawa na kujenga uwanja wa aina hiyo Kilimanjaro ni bure kabisa
 
Sio kosa lako. 1.Elimu 2.Elimu. 3. Elimu

Ukoo wako wa Kiumeni na Kikeni ungepata Mtu hata Mmoja tu mwenye IQ aliyonayo GENTAMYCINE ' Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer ' nadhani mngeringa na kujivunia huku mkimshukuru mno Mwenyezi Mungu lakini ni bahati mbaya haijawa hivyo na naomba pia nisichelewe kutoa pole Kwako kwa niaba yao.
 
Sa si kingejengwa Mwanza ambako kuna idadi kubwa ya watu. Hv watu wengine mnatumia akili gani kufikiri? CCM kirumba yenyewe si mali ya serikali na pia hakina hadhi ya jiji kubwa km la Mwanza
nchi inakua hii mkuu, idadi ya watu pia inaongezeka kwa kasi (hasa kanda ya ziwa) watu wanazaa sana, sasa unaposema vijengwe viwanja vidogo vidogo, vipi miaka ijayo?
sisi tumeweka malengo ya miaka ijayo.
 
Hesabu za wanasiasa huwa ni za kujua wao wenyewe tu. Hivi kweli Chato kunahitajika uwanja mkubwa wa miguu kama wa Taifa (kwa Mkapa) wa kazi gani?

Kama huu mmoja Dar na uwingi wote wa watu tunashindwa kuujaza je Chato? Huu utakuwa ni upotevu mwingine wa fedha kama za ESCROW.

Sifa zikizidi haya ndo madhara yake. Nilitegemea uwanja kama huu ujengwe kwenye majiji makubwa ya Mwanza, Mbeya, Arusha au Morogoro. Kiukweli kwa hili hata kama ndio charity begins at home, this is too much.

Mimi niko pamoja na mzee Meko na nakubali mambo mengi anayoyafanya ila kwa hili HAPANA. Hapa ndipo Kagame anapotupiga bao. Hesabu zake ni very strategic. Hakurupukagi. Mwezi uliopita tumeona Rwanda wakiufungua uwanja bora na wa kisasa kabisa maarufu kama Kigali Arena.

Sisi bado maamuzi yetu ni ya sifa sifa na mihemko. Kagame anaijenga Kigali inaonekana. Sisi hatueleweke mara, tujenge Arusha tunaacha tunahamia kuijenga Dodoma. Wakati huo huo Dar nayo inatakiwa ijengwe sasa tunahamia Chato.

Sisemi mikoa mingine isijengwe lakini kuna miradi ya kimkakati ambayo inahitaji kufikiri na kutafakari kwa kina. Yawezekana kwa sasa kipaumbele cha watu wa Chato ni hospitali ya kisasa au vyuo vya ufundi na si uwanja mkubwa kiasi hicho. Hakunaga mipango ya namna hiyo!!

Nadhani Chato wanahitaji uwanja mdogo tu kama wa Azam Complex unawatosha.

Wahusika tafakarini. Kwa mipango yetu mibovu ndio maana hadi leo hii hatuna ukumbi wowote wa maana kwa ajili ya kuhost mikutano mikubwa, hatuna kumbi kubwa za kisasa za burudani. Na hakuna anayeona hilo.

Cheap political popularity inatugharimu sana tena sana.

View attachment 1244923
Umesema hatuna ukumbi mkubwa wa mikutano? Vipi JNICC au AICC? Au sii kumbi hizo za kisasa?
 
Wa kumbukumbu kipindi ambacho mtoto wetu hatakuwa madarakani
 
Wewe acha ujinga economically kujenga uwanja mkubwa chato ni hakuna faida ni hasara tupu. Kama wewe ulivyo mtupu. Jamaa kaandika fresh uzi huu.
chato patakua makao makuu ya mkoa mpya
chato idadi ya watu inakua sana
chato kitajengwa kiwanda cha samaki
chato utakua mji wa kitalii sabab ya burigi national park
chato itajengwa university
chato patajengwa veta

hakuna haja ujenge uwanja wa watu af30 af baada ya miaka 15 ubomoe ujengee mwingine!!
 
Katika mji wa Gbadolite alikotoka, Rais Mobutu Sese Seko alijenga kasri kubwa la kifahari na uwanja wa ndege ambao ndege za kusafirisha bidhaa za anasa kama vile mvinyo ghali kutoka Ulaya zilitua na kupaa.

Njia ya kutumiwa na ndege kupaa na kutua katika uwanja huo ilikuwa kubwa kiasi cha kuweza kutumiwa na ndege kubwa ya wakati huo Concorde - ambayo aliikodi mara kwa mara.

Lakini alipotimuliwa madarakani mwaka 1997, kila kitu kilisimama. Sasa ni mahame.

Thanks for this ' Moronic Argument ' of Yours.
 
1a3fa0d3-1f6b-4fc3-a155-e3170170b7ac-2060x1244.jpeg
 
Mkuu, sisi hatushindani na Rwanda wala inchi yoyote.
Kama chato ipo ndani ya eneo ya United Republic of Tz kwani kuna tatizo gani mkuu??

Mbona SGR inajengwa From Dar to morogoro watu wa mtwara na Tanga hawajalalamika??

Binafsi sioni tatizo, maana kiwanja cha chato sio ndio kitakuwa cha mwisho kujèngwa... Mwanźa, Arusha, Mbeya, Kigoma vitajengwa tu mkuu, tujipe muda boss

Kwa nini uanze na Chato ambako hakuna hata timu ya ligi kuu ? na hawana historia yoyote ya kusisimua katika soka? Kama tunavyoshindwa kujua kipi kitangulie kati ya elimu bure na elimu bora ndivyo tunashindwa kujua wapi tutangulie kujenga hiki au kile
 
Hesabu za wanasiasa huwa ni za kujua wao wenyewe tu. Hivi kweli Chato kunahitajika uwanja mkubwa wa miguu kama wa Taifa (kwa Mkapa) wa kazi gani?

Kama huu mmoja Dar na uwingi wote wa watu tunashindwa kuujaza je Chato? Huu utakuwa ni upotevu mwingine wa fedha kama za ESCROW.

Sifa zikizidi haya ndo madhara yake. Nilitegemea uwanja kama huu ujengwe kwenye majiji makubwa ya Mwanza, Mbeya, Arusha au Morogoro. Kiukweli kwa hili hata kama ndio charity begins at home, this is too much.

Mimi niko pamoja na mzee Meko na nakubali mambo mengi anayoyafanya ila kwa hili HAPANA. Hapa ndipo Kagame anapotupiga bao. Hesabu zake ni very strategic. Hakurupukagi. Mwezi uliopita tumeona Rwanda wakiufungua uwanja bora na wa kisasa kabisa maarufu kama Kigali Arena.

Sisi bado maamuzi yetu ni ya sifa sifa na mihemko. Kagame anaijenga Kigali inaonekana. Sisi hatueleweke mara, tujenge Arusha tunaacha tunahamia kuijenga Dodoma. Wakati huo huo Dar nayo inatakiwa ijengwe sasa tunahamia Chato.

Sisemi mikoa mingine isijengwe lakini kuna miradi ya kimkakati ambayo inahitaji kufikiri na kutafakari kwa kina. Yawezekana kwa sasa kipaumbele cha watu wa Chato ni hospitali ya kisasa au vyuo vya ufundi na si uwanja mkubwa kiasi hicho. Hakunaga mipango ya namna hiyo!!

Nadhani Chato wanahitaji uwanja mdogo tu kama wa Azam Complex unawatosha.

Wahusika tafakarini. Kwa mipango yetu mibovu ndio maana hadi leo hii hatuna ukumbi wowote wa maana kwa ajili ya kuhost mikutano mikubwa, hatuna kumbi kubwa za kisasa za burudani. Na hakuna anayeona hilo.

Cheap political popularity inatugharimu sana tena sana.

View attachment 1244923
Mkuu ebu tueleze vizuri kwanza kulikoni. Naona malalamiko yako hapa ila sijajua msingi wake. Wametamgaza hivyo au Musiba kasema hivyo?
 
Serikali yenyewe imekili hv karibuni kuwa haina kumbi bora kisasa kwa ajili ya kuandaa mikutano mikubwa. Nazani hujui maana ya kumbi bora za kisasa.
Umesema hatuna ukumbi mkubwa wa mikutano? Vipi JNICC au AICC? Au sii kumbi hizo za kisasa?
 
Thanks for this ' Moronic Argument ' of Yours.
Tatizo hauna hoja ukiishiwa ni kuleta vimaneno vya kutusi
Una tatizo unataka unachoamini kila mtu akubali, watu wa mara ni kutumia ubabe bila akili hii 2019.
 
Back
Top Bottom