Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

Vipi Lori la mkaa litaendelea na tripu za shamba au linarudi gereji.?
 
Enyi wafuasi wa chama cha mbowe, Pengine siku moja mkiacha kuwaza na ?kunena upuuzi labda mnaweza mkajitahidi kuongeza viasilimia vya ushindani. Maana sasa hivi hamna ushindani bali mna upinzani. Mmechelewa sana yani
Sasa ushindani utakuwepo vp na wakati ccm hawezi au hataki ushindani?
 
Tulitaka kusikia suluisho la watu waliobomolewa nyumba zao bila fidia, Je wanatokaje! Tukumbuke kuna wengine walijenga hizo nyumba baada ya kupata kiinua mgongo, so ukimbolea mtu kama huyo bila fidia unakuwa umemkata kiuno na miguu pia!
 
Tupe clip nasikia watu wanasepa baada ya wasanii kumaliza
 
Magufuli alidai aambiwe ati dhambi yake nini hata asipewe tena Miaka Mitano.

Dhambi za Magufuli ni Nyingi sana Uwongo, Tamaa, Uuaji, Ukatili kutokuwa na Uaminifu, Uonevu na Wizi.

Kutaja tu chache.
Amekudanganya nini? Ametamani nini kutoka kwako? Vipi alikuua nini ukafufuka? Alikukatili na nini? Alikuvunjia uminifu gani? Amekuonea kwenye nini? Amekuibia nini? Hebu tuambie hapa na utoe ushahidi na uthibitisho, usipige porojo
 
Duh
Hapo umemmaliza vibaya sana. Machadema yanajiua alafu anasema ni JPM! Hembu mueleze ben alivyopotezwa na machadema yanayoropoka bila ushahidi
 
hahahaaa,,conde anaroho mbaya
 
Dah, hatareee

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Baada ya kupumzika kwa siku kadhaa, mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli anaendelea na kampeni leo katika mkoa wa Dar es Salaam katika uwanja wa Benjamin Mkapa...
sasa hv wapole wakiomba kura wakipata hawatukumbuki zaidi ya wao kuishi maisha ya kifahari na ndugu zao na marafiki zao wakiwa wameshiba utawasikia wakisema kama vyuma vimekaza weka gilisi safari hii waweke gilisi wao .
 
Kwa hivyo Waislamu ni wajinga? Haya Wewe amini hivyo. Mimi siamini.
 
Amekudanganya nini? Ametamani nini kutoka kwako? Vipi alikuua nini ukafufuka? Alikukatili na nini? Alikuvunjia uminifu gani? Amekuonea kwenye nini? Amekuibia nini? Hebu tuambie hapa na utoe ushahidi na uthibitisho, usipige porojo
Amini wengi wa wanaojiita wapinzani na kumchukia na kumtukana sana Magufuli ni wale waliokatiwa mirija either direct au indirect, na hayo yasingewakuta usingekaa kuwasikia wakitukana. Ubinafsi sio powa
 
Hakika naamini hilo na hao ndio waliokuwa wanawanyonya watanzania wanyonge, sasa Mjomba Magu kawabana kila idara ndio maana wanajifanya kuleta upinzani
 
Hahah huyo jamaa anazingua mkuu.

Hio ni nissan patrol y60 na niliinua bei rahisi sana mkononi mwa mtu hapa hapa bongo(14mil) jamaa alikua ameitunza vzr sana yaani body+mechanically,.

Then nikaenda kuibadilisha rangi,ku-install off-road kit,nikabadili interior na vitu vingine ndio ikawa kama hio pichani mkuu.

Total cost iko juu kidogo ya Tsh. 20mil.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…