Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

Mtu mwenye akili za kiwango hicho ulichokitaja, hawezi kushawishika kuhudhuria na pia kumchagua mgombea kwa sababu tu alimburudisha au kumpa chakula.

Wahudhuriaji wengi wa hilo tamasha watakua ni wale Watanzania wajinga tu mlio watengeneza wenyewe kwa miaka yote hii kupitia elimu duni, sera duni za kiuchumi, kisiasa na kijamii, nk.
Nipo hapa uwanjani now. #JPM5TENA

Unamsongo wa mawazo
 
Burudani na sio sera???
CCM ni chama janja janja tu. Hakijawahi kuamini kwenye sera. Hapo watu watapigishwa burudani ya kutosha tu, halafu baadae wataambiwa tumejenga flyovers, barabara ya njia 8, tumenunua ndege, nk.

Hakuna sera yoyote ile itakayo ongelewa leo kuhusu ustawi wa maisha ya watu. Kwa maana Maendeleo kwa sasa ni Vitu tu! Na siyo watu.
 
Ni promotion ya wasanii siyo mkutano wa kampeni
 
Leo ndio nimejua kwanini Lissu alipata watuwachache kwenye mkutano wake wa Mbagala Zakheem.
Kumbe Dar wanamkubali JPM kiasi hiki!
 
wengi wameletwa na mabasi ya Abood kutoka Morogoro, JWTZ wamevalishwa tshirt za CCM n.k
Si huwa mnasema JWTZ haimpendi Magufuli? Sasa inakuwaje tena itumike kumpigia kampeni?

Hivi mgombea wenu leo ataenda tena kununua nyanya?
 
Back
Top Bottom