Gavana
JF-Expert Member
- Jul 19, 2008
- 33,637
- 8,947
Upuuzi tuu
KWAKO NI UPUUZI KWANI MZIGO WA MWENZAKO KWAKO NI GANDA LA USUFI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upuuzi tuu
Karibu sana kwenye kampeni komavu za kiume za CCM chini ya jembe, mzee baba,hodari,jemedari,mkuu wa kaya, kiboko ya mafisadi,mapafu ya mbwa hakuna kuchoka,number1 ,baba jesca JPM upate ata kauzalendo kidogo.
Namaanisha lile lililopiga route zake mlimani city.I cant reach you
Utakufa kwa pressure, najua unaumia ila ni namna ya kujifariji ili usije ukafa ghafla.wengi wameletwa na mabasi ya Abood kutoka Morogoro, JWTZ wamevalishwa tshirt za CCM n.k
Acha kuweweseka hakuna soja yeyote aliyepelekwa Dar toka Morowengi wameletwa na mabasi ya Abood kutoka Morogoro, JWTZ wamevalishwa tshirt za CCM n.k
Unaelewa nini wewe nayeAcha kuweweseka hakuna soja yeyote aliyepelekwa Dar toka Moro
Labda unilogeUtakufa kwa pressure, najua unaumia ila ni namna ya kujifariji ili usije ukafa ghafla.
Nisikilize ujinga?Njoo msikilize platinamz
Watumishi wa ummaTusisahau na Wanafunzi wa shule za msingi na Sekondari kulazimishwa kwenda Uwanjani.
Kumekucha, kumekucha....!
Acha kupotosha upuuzi, unataka kuwaaminisha watu kuwa wanajeshi ( JWTZ) wameacha kazi zao za kiulinzi na kwenda kwenye mkutano wa siasa?Unaelewa nini wewe naye
Wanalinda kitu gani?Acha kupotosha upuuzi, unataka kuwaaminisha watu kuwa wanajeshi ( JWTZ) wameacha kazi zao za kiulinzi na kwenda kwenye mkutano wa siasa?
Ukiulizwa hao wanajeshi wametoka kikosi gani utajibu?
Kumbe nabishana na empty headed hog?Wanalinda kitu gani?
Hata juzi kule Mererani waliua raiaAcha kupotosha upuuzi, unataka kuwaaminisha watu kuwa wanajeshi ( JWTZ) wameacha kazi zao za kiulinzi na kwenda kwenye mkutano wa siasa?
Ukiulizwa hao wanajeshi wametoka kikosi gani utajibu?
Utaona mikoa kamaHii ni hadithi ya paukwa pakawa?
Niko kwny gari tayari mkuu.We sogea eneo la tukio watakuwepo wote sio mondi peke yake zuchu kiba hamonize wakali wote wa singeli bila kusahau mkuu wa kitengo polepole na mzee baba mwenyewe number moja mkuu wa kaya JPM.
Itakuwa kweli mkuu maana huko mikoani mijitu inajazana tu kwenye kampeni mpaka vyama vinajivunia kujaza watu ila mijitu yenyewe hata hizo sera hawazielewi wanapigwa na jua tu.
Tatizo sio ccm we ushafutilia kama hao watu wanajali kuuhusu sera ?achilia kuzielewa.CCM ni chama janja janja tu. Hakijawahi kuamini kwenye sera. Hapo watu watapigishwa burudani ya kutosha tu, halafu baadae wataambiwa tumejenga flyovers, barabara ya njia 8, tumenunua ndege, nk.
Hakuna sera yoyote ile itakayo ongelewa leo kuhusu ustawi wa maisha ya watu. Kwa maana Maendeleo kwa sasa ni Vitu tu! Na siyo watu.