Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kabisa mkuu imebaki dola na NEC CCMHiki chama kilishajifikaga kitambo saana!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu imebaki dola na NEC CCMHiki chama kilishajifikaga kitambo saana!!
Mgombea wa Kigamboni kasema wao pekee ndiyo wamepewa hospitali mbili za wilaya na Magufuli kwa mkoa mzima wa Dar. Bahati mbaya akaja wa Kigamboni naye akasema hivyo hivyo yani eti Mbagala pekee ndiyo wamepewa hospitali mbili za wilaya kwa Dar. Hadi mtu unabaki kushangaa.Huyu mgombea wa CCM segerea kwa kweli atuombe radhi kwa fix nadhani kwanza mwenyewe anaona aibu maana hakuna kitu kilichofanyika kwenye hili jimbo kwa miaka 5 anasema jimbo la Segerea maji yanapatikana 98% hivi anaona watu hawana ufahamu Kinyerezi karibu yote maji ni ya kununua kwenye magari dumu la lita 1000 elfu 15 ndoo 500 halafu anasema maji yapo, huo mradi wa DMDP sijui upo maeneo gani kipande tu cha barabara ya kimanga tu imechukua miaka karibu minne kukamilika nk huyu ana shida au hata hakujua anachozungumza hili jimbo kama kuna kilichofanyika ni 15% tu
Hongera mkuuSana,lol
HI NA LEO PIA MC ATAKUA ADAMU MCHOMVU? SABABU NATAKA KUSHUHUDIA PIA SHOW YAKE YA MITAMA.Baada ya kupumzika kwa siku kadhaa, mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli anaendelea na kampeni leo katika mkoa wa Dar es Salaam katika uwanja wa Benjamin Mkapa.
Up dates;
Sawaresh tu ili mradi uwanja ujae
Punguza uongo kamanda, vyombo vya habari vyote vinamlika .Wengi wameletwa na mabasi ya Abood kutoka Morogoro, JWTZ wamevalishwa tshirt za CCM n.k
Hakuna mwenye ubavu wa kumuondoa Magufuli, narudia tena kwa herufi kubwa HAKUNA MWENYE UBAVU WA KUMUONDOA MAGUFULI.Tanzania inakwenda kuweka historia...jamaa anaondoka aisee!!
Kuna watu wanateseka na hiliUwanja umejaa kweli kweli,wengine wamekosa sehemu za kukaa,haijawai kutokea daresalaam mmevunja rekodi.
Endeleeni kujipa matumaini fakeNa Magufuli ndiyo kaingia alipoona hali ya uwanja mpaka sura imebadilika. Mbaya zaidi hata wazee wastaafu hakuna. Pia tuliambiwa waendesha bodaboda na mama lishe watamsindikiza. Au walikuwa kwenye yale ma V8?
Lissu alishamwaga sumu ya king Cobra wallahi
Asanteni wananchi mnaojitambua
Wananchi hawamtaki...ndiyo maana anasomba watu kwa mabasi na kuweka wasanii kwa mikutano yake ili kuvuta watu wakati hiyo ni rushwa.Hakuna mwenye ubavu wa kumuondoa Magufuli, narudia tena kwa herufi kubwa HAKUNA MWENYE UBAVU WA KUMUONDOA MAGUFULI.
Wakumuondoa Magufuli na CCM yake hajazaliwa bado na hatazaliwa.
Basi ccm itashinda uchaguzi Maana majinga ya mikoani tuko weng sana (imagine majinga ya mikoa yote) kuliko nyie waelevu mlioko Dasalamu
Hasa wewe una uzao wakoBasi ccm itashinda uchaguzi Maana majinga ya mikoani tuko weng sana (imagine majinga ya mikoa yote) kuliko nyie waelevu mlioko Dasalamu
Mkuu tupo uwanjani tunaona live ujue. Kinachoendelea hapa ni aibu na uwanja hauna watu kabisa. Yaani Bora tungeenda Mbagala ZakhemKatika uchaguzi kuwa upande wa ushindi ni raha sana. Asanteni Dar kwa kumwelewa Mhe Magufuli. CCM na watu kibao. Chama fulani kinajifariji kuwa wameletwa, malaki hayo ya watu wataletwa na mabasi mangapi na lori ngapi kwa hesabu tu ya kawaida. Basi barabara zote za Dar hadi Morogoro ingejaa foleni ya mabasi hayo na malori hayo. Kubalini ukweli kuwa Mheshimiwa Magufuli anapendwa na watanzania na atashinda kwa kura za mafuriko. CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Wengi wameletwa na mabasi ya Abood kutoka Morogoro, JWTZ wamevalishwa tshirt za CCM n.k
Katika uchaguzi kuwa upande wa ushindi ni raha sana. Asanteni Dar kwa kumwelewa Mhe Magufuli. CCM na watu kibao. Chama fulani kinajifariji kuwa wameletwa, malaki hayo ya watu wataletwa na mabasi mangapi na lori ngapi kwa hesabu tu ya kawaida. Basi barabara zote za Dar hadi Morogoro ingejaa foleni ya mabasi hayo na malori hayo. Kubalini ukweli kuwa Mheshimiwa Magufuli anapendwa na watanzania na atashinda kwa kura za mafuriko. CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Sema wewe humtaki usiwasemee wanachi, hao wanaosombwa kwenye magari kwenye watasombwa hivyo hadi kupiga kura.Wananchi hawamtaki...ndiyo maana anasomba watu kwa mabasi na kuweka wasanii kwa mikutano yake ili kuvuta watu wakati hiyo ni rushwa.