Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

Mkuu tupo uwanjani tunaona live ujue. Kinachoendelea hapa ni aibu na uwanja hauna watu kabisa. Yani Bora tungeenda Mbagala Zakhem
Uwanja umefurika kweli kweli,na bado kuna misururu ya watu wanaingia uwanjani wewe kinachokusumbu wivu tu.
 
Harmonize leo show mbovu sana pia inabidi afanye Mazoezi khaaa
 
Hoja hii haina kichwa wala miguu, haina tija. Hatijadili dini hapa. Nenda kanisania au msikitini. Full stop
Hatujadili dini lakini baada ya uchaguzi Ndio utaona mikoa kama Tanga. Na pwani CCM itashinda kwa kishindo
Mikoa kama Kilimanjaro. Mbeya.bukoba.ni CHADEMA.

Huo ni ukweli mchungu hata Dkt Bashiru amesema Wasomi wengi nchi hii hawapendi CCM ila wale wenye maslahi serikalini na mtaji mkubwa wa CCM ni darasa la saba ambao wengi wao ni waislamu wenzangu
 
Sera zimeanza kutolewa ufafanuzi au bado ni burudani???
 
wana Dar karibuni kwenye bonanza la wasanii maarufu, halafu baada ya wasanii kushuka jukwaani tunafanya haya yetu...[emoji116][emoji116][emoji116]

 
Watu wanafuata burudani tu kutoka kwa akina Ali Kiba, Diamond, Harmonize,nk Hakuna jipya.
Ila wakifika uwanjani wanakutana na sera changanya na burudani wanaelewa vizuri walichoambiwa, tarehe 28 wanafanya jambo lao, halafu mtu mwingine anakuja kukataa matokeo, kampeni ni kama tangazo la kibiashara ambalo linahitaji pia kupata wateja ambao wapo mbali na bidhaa yako, unatakiwa kuwavuta upande wako.
 
Watu wanafuata burudani tu kutoka kwa akina Ali Kiba, Diamond, Harmonize,nk Hakuna jipya.
sasa ukitaka uwe kama mkutano wa msiba. Mzee relax. Wewe umeshasikia Mc anasema ni sherehe ya mafanikio ya awamu ya tano muhula wa kwanza. Sisi wenywe tunaelewa na hatupo bias kabisa. Tupo weng hapa Montreal .
salamz.

Montreal. Dehavilland.Canada
 
Hakuna mwenye ubavu wa kumuondoa Magufuli, narudia tena kwa herufi kubwa HAKUNA MWENYE UBAVU WA KUMUONDOA MAGUFULI.
Wakumuondoa Magufuli na CCM yake hajazaliwa bado na hatazaliwa.
Tulia wewe kwani Oct 28 mbali?
 
Hakuna mwenye ubavu wa kumuondoa Magufuli, narudia tena kwa herufi kubwa HAKUNA MWENYE UBAVU WA KUMUONDOA MAGUFULI.
Wakumuondoa Magufuli na CCM yake hajazaliwa bado na hatazaliwa.
Labda aondolewe na aliyemuondoa "NKAPA"!
 
Kumekucha, kumekucha....!!!
Inawezekana mwaka huu huko Zanzibar kukatokea "KIMBARI" ya kutisha sana..!!!
Hii itakuwa zaidi ya ile ya 2001 ambako Wazanzi-bar zaidi ya 20 walipoteza maisha na mamia kwa maelfu kuwa wakimbizi wa Kisiasa kwa mara ya Kwanza Tanzania!!
Tunaomba JUMUIA ZA KIMATAIFA ZILIMRIKE HILI.


DUNIA INAANGALIA KWA MACHO MANNE
 
Watu wamefaidi sana show ya diamond, sasa inafuata sura halisi ya ccm wakati wa kunadi sera bila wasanii...tayari kumeanza kumepoa!.
 
Mawazo yenu tuu hayo na chadema wengi mnatamani iwe ivyo na kamwe haitakuja tokea.
Uliangalia jana RVS online usiku? waulize wale waliokuwa wakipiga simu na kuandika maswali wengi wanatoka wapi?
 
Macho ya Mgombea ubunge Segerea yamekuaje au ana shida ya macho?
 
Back
Top Bottom