Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

Hapo watu wameenda kusikiliza sera siyo nyie mnaamua kumsindikiza huyo kibaraka wenu anaeamua kuwa house girl na kwenda kununua nyanya kariakoo!
Mgombea wenu jumapili anarudi gereji. Hili nyomi nimelipenda teh teh teh unasonga ugali wa unga kikombe kwa maji ndoo nzima then unategemea muujiza!...Dar hoyeeeeee na hapo wanaondoka kwa spidi kubwa baada ya mond kushuka jukwaani.
 
Dar yenye wakazi milioni 6 uwanja una uwezo wa kuchukua watu elfu 60 walio kaa CCM wameshindwa kuujaza!!!
 
Dar yenye wakazi milioni 6 uwanja una uwezo wa kuchukua watu elfu 60 walio kaa CCM wameshindwa kuujaza!!!
CCM + WATUMISHI + DIAMOND + ALIKIBA + HARMONIZE + OTHERS
na bado hata watu elfu moja hawajafika.
Mchawi hapo ni CCM na Magufuli. Halafu hilo li uwanja wameenda kulichukua la nini? Bora wangetupeleka Mbagala walau tusingeona live hivyo. Kangejaa jaa
 
Aliyyewadanganya wachukue uwanja mkuu kawauza .....Mbagala wangepata watu kibao ukizingatia wanapenda wasaniiii........
 
CCM + WATUMISHI + DIAMOND + ALIKIBA + HARMONIZE + OTHERS
na bado hata watu elfu moja hawajafika.
Mchawi hapo ni CCM na Magufuli. Halafu hilo li uwanja wameenda kulichukua la nini? Bora wangetupeleka Mbagala walau tusingeona live hivyo. Kangejaa jaa
Aibu
 
Hayo Sio maneno yangu NI maneno ya mheshimiwa Rais wetu mpendwa Jamani nawasihi wapinzani acheni kumchelewesha raisi wetu Tunataka maendeleo Dar es salaam

Tukutane tarehe 28 Oct
 
Dah [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20201009_113427_667.JPG
 
Leo ccm walikuwa na mkutano wao wa Kampeni Dare Salaam. Yaani mkutano wa ccm umetuleta kero wakazi wa Temeke leo ktk usafiri. CCM wamekodi magari mengi ya daladala na binafsi kusomba watu maeneo mbali mbali na kusababisha msongamano wa magari na Usafir kuwa mgumu.

Kuonesha kuwa ccm ni washamba na mambumbu eti wakati mkutano wao ukiwa unaendelea kufanyika wakawa wanarusha Helkopta lao juu linazunguka likiwa limepakwa ile rangi yao ya Mikosi.

Yaani badala ya kuwapandisha vyeo wafanyakazi wa serikali na kupandisha mishahara yao ccm wanatumia pesa za serikali kuringishia Helikopta hewani wananchi.

CCM wanadhani Watanzania ni washamba wa Mahelkopta na mi bombadia yao. Watu wanakunywa maji ya matope na wanyama ninyi mnaturingishia Helikopta kuruka hewani bila tija yeyote. Salamu zetu mtazipata tarehe 28/10/2020
 
Magufuli bwana .... yaani badala ya kuomba KURA anaomba KULA .... Eti "Wanadar es salaam, wangapi watanipa Kula ....!!?"
 
Back
Top Bottom