Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

Watumishi wote na familia zao kura kwa Lissu. Mmeteswa sana miaka 5 bila ongezeko la mshahara, kupanda madaraja, increments, malimbikizo n.k.

Mpigie Lissu kura ubarikiwe pia.
 
Nimeona mtoto wa Nyerere kule FB anasema kuwa milango imefungwa baada ya harmonize na Diamond kutumbuiza watu wasitoke na wanatishiwa maisha. Je ni kweli mliopo uwanjani??
 
Harmonize kamfedhehesha sana gwajima kama mgombea mbunge kwa nyimbo yake ya uno tena mbele ya mh.Rais.

kistaarabu angekiruka kile kipande kinachosema "kama lile Gwajima alilommwagia kondoo UNO" Harmonize kakipiga bila huruma na kumnyooshea kidole watu wanashangilia.
 
Nimeona mtoto wa Nyerere kule FB anasema kuwa milango imefungwa baada ya harmonize na Diamond kutumbuiza watu wasitoke na wanatishiwa maisha. Je ni kweli mliopo uwanjani??
Hahah acha wafungiwe tu, next time wakisikia burudani za bure watakoma kwenda.
 
Leo nimefanikiwa kukuona Crimea walahi nimejisikia kukuonea huruma sana!! Kweli CCM ni mashetani aisee!! Hadi wewe?
Ni aibu sana mtu unapoamua kujidanganya hata nafsi yako,,!
 
Back
Top Bottom