Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

Niseme tu kwa kifupi kwamba hii ni funga kazi, misururu ya watu kwa wingi huu kuelekea uwanja wa taifa mara ya mwisho niliona Simba ilipocheza na Stella abidjan ya Ivory coast kwenye fainali ya kombe la CAF.

Watu ni wengi kana kwamba wengine walilala uwanjani kumsubiri kipenzi cha watanzania Dr Magufuli aje kuwahutubia.

Vituo vyote vya runinga Afrika ya mashariki vinategemewa kurusha mubashara mkutano huu wa Funga kazi vikiongozwa na TBC na Channel ten.

Up dates;
Umesahau kitu kimoja. Tutajie na wasanii watakaotumbuiza katika hiyo fiesta ya CCM
 
UTAFI::
60%--70% ya Wakiristo Tanzania watapigia kura CHADEMA
70%--80% ya Waislamu wenzangu watapigia kura CCM
KWA hio CCM itapata ushindi wa kishindo
Je mheshimiwa atatulipa hisani baada ya kumfanyia hisani?
Je mashekh wetu wanaoozea jela bila kupelekwa mahakamani watatendewa haki?
Je serikalini tutapata nyadhifa mbalimbali?
Maana wakati wa Jakaya tulikua 30%--36% lakini awamu hii tupo 18%--20% tu
Je maeneo yetu tutapata miundo mbinu kama maeneo mengine?
Kweli awamu hii imetutupa waislamu na sisi Ndio tutakaokupa kura kwa wingi
Let's wait and see!!
shame on you...Yaani kwa miaka hii unawaza kuhusu udini khaaaa!!!!!
 
Show Kali.
Baada ya uchaguzi utaona

Mimi ni muislamu nasafari Sana na nipo msikitini

Kama alivyo Sema Dkt Bashiru CCM haipendwi na Wasomi na wenye uchumi ila kwa wale wenye maslahi inapendwa na darasa la saba na watu masikini ambao wengi wao ni waislamu
 
Watumishi wote na familia zao kura kwa lissu.Mmeteswa sana miaka 5 bila ongezeko la mshahara,kupanda madaraja,increments,malimbikizo n.k.

Mpigie Lissu kura ubarikiwe pia.
 
Kiherehere cha Polepole kwenda kuchukua uwanja wa Mkapa ona sasa ulivyododa.

Ila watu wa Dar! Halafu wagombea ubunge wa CCM Dar ni wanyonge wanyonge. Hilo Tamasha lingefanyika Mbagala Zakhem hata usingefikia nusu ya uwanja. Pale kwa Mkapa wameenda kujichoresha bure.
Yaani naona kabisa harufu ya wakuu fulani kukosa kazi .....mahudhurio ni mabovu hadi huruma ....sijui aliyewashauri wakuchukue uwanja mkuu ni nani .....hapo kwenye majani ya kuchezea yenye penyewe watu hawajaweza hata kujaaa ......WAMEHARIBU MAJANI BURE TU KWA AJILI YA KUTAKA SIFA
 
Yaani naona kabisa harufu ya wakuu fulani kukosa kazi .....mahudhurio ni mabovu hadi huruma ....sijui aliyewashauri wakuchukue uwanja mkuu ni nani .....hapo kwenye majani ya kuchezea yenye penyewe watu hawajaweza hata kujaaa ......WAMEHARIBU MAJANI BURE TU KWA AJILI YA KUTAKA SIFA
Na Magufuli ndiyo kaingia alipoona hali ya uwanja mpaka sura imebadilika. Mbaya zaidi hata wazee wastaafu hakuna. Pia tuliambiwa waendesha bodaboda na mama lishe watamsindikiza. Au walikuwa kwenye yale ma V8?

Lissu alishamwaga sumu ya king Cobra wallah
 
Huyu mgombea wa CCM segerea kwa kweli atuombe radhi kwa fix nadhani kwanza mwenyewe anaona aibu maana hakuna kitu kilichofanyika kwenye hili jimbo kwa miaka 5 anasema jimbo la Segerea maji yanapatikana 98% hivi anaona watu hawana ufahamu Kinyerezi karibu yote maji ni ya kununua kwenye magari dumu la lita 1000 elfu 15 ndoo 500 halafu anasema maji yapo, huo mradi wa DMDP sijui upo maeneo gani kipande tu cha barabara ya kimanga tu imechukua miaka karibu minne kukamilika nk huyu ana shida au hata hakujua anachozungumza hili jimbo kama kuna kilichofanyika ni 15% tu
 
Back
Top Bottom