tanzania digital
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 425
- 269
Umesahau kitu kimoja. Tutajie na wasanii watakaotumbuiza katika hiyo fiesta ya CCMNiseme tu kwa kifupi kwamba hii ni funga kazi, misururu ya watu kwa wingi huu kuelekea uwanja wa taifa mara ya mwisho niliona Simba ilipocheza na Stella abidjan ya Ivory coast kwenye fainali ya kombe la CAF.
Watu ni wengi kana kwamba wengine walilala uwanjani kumsubiri kipenzi cha watanzania Dr Magufuli aje kuwahutubia.
Vituo vyote vya runinga Afrika ya mashariki vinategemewa kurusha mubashara mkutano huu wa Funga kazi vikiongozwa na TBC na Channel ten.
Up dates;