Uchaguzi 2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

shame on you...Yani kea miaka hii unawaza kuhusu udini khaaaa!!!!!
It is a reality
Let us wait and see
Regions with Muslims majority like Tanga and other coast regions CCM will win by far.

And Christian majority lands like Kilimanjaro. Mbeya. Mara. Kagera and other Christians majority lands CHADEMA will win
Muslims in Tanzania we are most ignorant and poor community that's why CCM will rule this country for long long time
 
Mapumziko ya anko Magu yalikuwa ya kimkakati, hakupenda wanafunzi wa darasa la saba na walimu wao kuvurugika ktk kutimiza ratiba ya mitihani yao ya taifa kumaliza darasa la saba!

Leo wote hao wanajaza uwanja, kazi kweli kweli!
Hawawezi kwenda, hawajaongezwa mishahara kwa miaka mitano.
 
Yaani huyu Mafia , mtoa rushwa Mussa Zungu naye eti anatoa lecture ??

CCM ni hatari , wezi watupu
Your browser is not able to display this video.
 
Nimeona mabasi asubuhi na mapema leo huku kwetu yakitafuta watu kuwapeleka kujaza vichwa. Takwimu za makusanyo ya mapato zinazotolewa zingekuwa na maana kama zigegusa maisha ya mtu binafsi. Hospitali zetu hazina dawa wala wafanyakazi; shule madarasa hayatoshi na walimu ni wachache; maji hamna; barabara ndiyo usiseme; na hali ya kipato cha kumfanya mtu aishi kinazidi kunyong'onyea. Sasa hizi takwimu kwetu zina maana gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…