Subiri tufuatilie game, mambo ya ligi za kijinga yaweke pembeniUlipaswa uanze na kujiuliza Simba walivyoipokea na kuishangalia TP Mazembe.
NdioSimba mmpepulizia Sumu kwenye changing room?
Jamaa wanaanguka
Siku Ile na namungo mliwapulizia?Simba mmpepulizia Sumu kwenye changing room?
Jamaa wanaanguka
Kwa pira hili wangekuwa Utopolo muda huu wekuwa tayari wesha lalaSimba mmpepulizia Sumu kwenye changing room?
Jamaa wanaanguka
Utopolo hawajui mpira bali ni undava undava mtupu mpira kama huu wa kujiamini huwezi kuuonaKwann simba huwa hachezi namna hii kwa Utopolo, ama utopolo ni ngumu sana kuichezea namna hii.??????? Naomba nijibiwe tafadhali
Makapend ndio kitu gani?Naona mpira⚽ umeandikwa Simba kwa makapend ya mganga wa Buza🚮🚶🚶🚶
Mchawi weweKila la Heri Plateau United, tupindue meza kibabe
SawaMchawi wewe