Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Hakuna sub yoyote??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka sasa hivi dakika ya 63 hamna sub kwa pande zote mbiliHakuna sub yoyote??
Mbona hujaweka kikosi cha Plateau United?Mabingwa wa Nchi Simba SC, Mnyama Mkali Kuliko Wote Mwituni Jumamosi ya leo Disemba 5, 2020 watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kupapatuana na Plateau United, kutoka nchini Nigeria kwenye mchezo wa marudiano Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.
Mchezo wa leo unatarajiwa kuwa mkali na wa kusisimua kwa muda wote wa dakika 90 huku Simba SC wakipewa nafasi nzuri ya kushinda kutokana na kupata ushindi ugenini wa bao moja bila majibu kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Nigeria kwenye uwanja wa New Jos matokeo ambayo Plateau United wakitaka kuweka rekodi ya kupindua matokeo.
Kocha wa Simba SC, Sven Vanderbroeck kuelekea mchezo wa leo amesema " Utakuwa mchezo mgumu, na mchezo ambao tumepishana kwa goli moja, hivyo lazima tuwe makini na natarajia mashabiki watajitokeza kwa wingi kushangilia. Timu yao ni nzuri hivyo tunahitaji kila aina ya nguvu ambayo tunayo ili tuweze kupata matokeo mazuri" amesema Vanderbroeck
Kulipewa Mwana... Kulitaka Mwana
Kumbuka mtanange huu wa kombe la Mabingwa Afrika ni kuanzia saa 11:00 jioni. Azam Sports 1 HD Live na Ghazwat na Jopo zima la JF litakuwa hapa Mubashara kukuletea mtanange huu kinagaubaga.
Usikose Ukasimuliwa..
Kikosi cha Simba SC;
Aishi Manula
Shomari Kapombe
Mohamed Hussein
Erasto Nyoni
Pascal Wawa
Jonas Mkude
Hassan Dilunga
Mzamir Yasin
John Bocco
Claotus Chama
Luis Miquissone
Subs;
Kakolanya
Gadiel
Ame
Ndemla
Kahata
Kagere
Morrison
View attachment 1642028
safiDilunga Nje
Morison ndani
Dakika ya 69
Dakika ya ngapiSimba kazidiwa sana, dakika yoyote plateau wanachana mkeka.
Lazima iwe hivyo maana kwa dakika zilizosalia, Plateau ndio wanaopaswa kutafuta goliSimba kazidiwa sana, dakika yoyote plateau wanachana mkeka.
wafanye maamuzi magumu.wampige chini kochaKocha anambania Kagere
Ngoja tumuundie zengwewafanye maamuzi magumu.wampige chini kocha
Kocha wetu kiburi sanawafanye maamuzi magumu.wampige chini kocha
kana roho ngumu sana na chuki juu.hata Morrison anambaniaKocha wetu kiburi sana