Hivi sisi wenyewe hatuna uwezo wa kuijenga hiyo banadari ya bagamoyo kama kweli tuna uhitaji nayo?Tutamuamini vipi JPM ambaye mara nyingi tu alikuwa a lair.
Mfano kuna kipengele alisema kuwa tumewapa Wachina ardhi kwa miaka 99 kwenye huo mkataba wakati sheria za uwekezaji ndo zinasema hivyo hapa Tz..lakini yeue fastafasta tu kwa akatuambia tumepigwa..huyo ndo JPM.
Hapo panamwagwa pesa nyingi sana i think..tungekuwa na uwezo tungejikongoja kama kwenye sgr na mwawa la umeme.Hivi sisi wenyewe hatuna uwezo wa kuijenga hiyo banadari ya bagamoyo kama kweli tuna uhitaji nayo?
Na kwa nini tujenge bandari mpya ilihali tulizonazo(Dar,Tanga na Mtwara) hatujaziutilize ipasavyo?
Hizo pesa nyingi sis kama taifa hatuna uwezo wa kuzipata?Hapo panamwagwa pesa nyingi sana i think..tungekuwa na uwezo tungejikongoja kama kwenye sgr na mwawa la umeme.
Unawezaje kusema watu wanaropoka..! Au una lako jambo
Watanzani wa kawaida tunakumbuka maneno ya hayati raisi wa awamu ya 5 mh Magufuri
Kwamba vigezo na masharti vya mkataba wa ujenzi wa bandari hiyo ni vya kihuni, na aliongea peupe na kujaribu kudodosa baadhi ya vifungu..(ningeambatanisha hiyo video hapa ila device ninayotumia hairuhusu)
Na ni Kweli ni vya kihuni ikiwa alichokisema kilikuwa ni sahihi
Halafu kwanini tuhangaike kote huko kuchukua neno la huyu mala yule.! Kwani chombo kama bunge kazi yake nini.?
Lijadiliwe kweupe tu watanzani hatuna shida sisi tutaridhika tu hata kama tunapelekwa chaka
Wabunge wote kuanzia Ndugai wamehongwaNalijua hilo na ndio maaana nimesisitiza kwamba hakuna sababu ya kutupa imani yako kwa mtu yeyote
Chombo kama bunge ndio wajibu wake
Wapeleke bungeni lijadiliwe likipita sawa likishindikana sawa
Ila sisi watanzani tutabaki na ushahidi kwamba serikali ikiongozwa na wabunge wa chama fulani walipitisha hili na lile ndio tunachokitaka
Ili siku ikifika ya kunyooshana ushahidi uwepo
Kwani Bandari ya Dar Es Salaam haifanyi kazi?Hapo panamwagwa pesa nyingi sana i think..tungekuwa na uwezo tungejikongoja kama kwenye sgr na mwawa la umeme.
Bungeni atajadili nani?Unawezaje kusema watu wanaropoka..! Au una lako jambo
Watanzani wa kawaida tunakumbuka maneno ya hayati raisi wa awamu ya 5 mh Magufuri
Kwamba vigezo na masharti vya mkataba wa ujenzi wa bandari hiyo ni vya kihuni, na aliongea peupe na kujaribu kudodosa baadhi ya vifungu..(ningeambatanisha hiyo video hapa ila device ninayotumia hairuhusu)
Na ni Kweli ni vya kihuni ikiwa alichokisema kilikuwa ni sahihi
Halafu kwanini tuhangaike kote huko kuchukua neno la huyu mala yule.! Kwani chombo kama bunge kazi yake nini.?
Lijadiliwe kweupe tu watanzani hatuna shida sisi tutaridhika tu hata kama tunapelekwa chaka
Magufuli alikupa huo mkataba ukausoma?Unawezaje kusema watu wanaropoka..! Au una lako jambo
Watanzani wa kawaida tunakumbuka maneno ya hayati raisi wa awamu ya 5 mh Magufuri
Kwamba vigezo na masharti vya mkataba wa ujenzi wa bandari hiyo ni vya kihuni, na aliongea peupe na kujaribu kudodosa baadhi ya vifungu..(ningeambatanisha hiyo video hapa ila device ninayotumia hairuhusu)
Na ni Kweli ni vya kihuni ikiwa alichokisema kilikuwa ni sahihi
Halafu kwanini tuhangaike kote huko kuchukua neno la huyu mala yule.! Kwani chombo kama bunge kazi yake nini.?
Lijadiliwe kweupe tu watanzani hatuna shida sisi tutaridhika tu hata kama tunapelekwa chaka
Mchina anakopa, kwa umaskini upi alionao?Unaonekana haujui kitu, Bandari ya Bagamoyo ni mradi ambao sio wa mkopo na unajengwa kwa kutumia joint venture (JV) kati ya kampuni ya Bandari ya China (China Harbors) na Kampuni itakayoundwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).
Mkopo anachukua China Harbors kutoka Saudi Arabia nasi tutatoa pesa kuchangia kwenye project kama sehemu ya share so hapo hakuna mkopo kutoka China pekee Bali nasi tutahitajika kukopa pesa ya kutumbukiza kama mchango wa capital ya project.
So muwe Makini kupitia hii miradi sio kuja kuropoka mitandaoni bila kujua ukweli ulivyo, hakuna mkopo hata shilingi moja kutoka China zaidi ya kwamba tunaweka shares zetu kwenye huo mradi. Huu sio mradi wa serikali ya TZ pekee, ni JV kila upande unatakiwa kutoa a certain amount ili kuwekeza kwa pamoja.
Just get your facts right.
Kama huna shida subiri tu ijengwe, mjadala wa nini na huna shida hata kama unapelekwa chaka? Ukipelekwa chaka kwako ni sawa, usipopelekwa kwako ni sawa sasa unataka mjadala wa kazi gani?Lijadiliwe kweupe tu watanzani hatuna shida sisi tutaridhika tu hata kama tunapelekwa chaka
Unaonekana haujui kitu, Bandari ya Bagamoyo ni mradi ambao sio wa mkopo na unajengwa kwa kutumia joint venture (JV) kati ya kampuni ya Bandari ya China (China Harbors) na Kampuni itakayoundwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).
Mkopo anachukua China Harbors kutoka Saudi Arabia nasi tutatoa pesa kuchangia kwenye project kama sehemu ya share so hapo hakuna mkopo kutoka China pekee Bali nasi tutahitajika kukopa pesa ya kutumbukiza kama mchango wa capital ya project.
So muwe Makini kupitia hii miradi sio kuja kuropoka mitandaoni bila kujua ukweli ulivyo, hakuna mkopo hata shilingi moja kutoka China zaidi ya kwamba tunaweka shares zetu kwenye huo mradi. Huu sio mradi wa serikali ya TZ pekee, ni JV kila upande unatakiwa kutoa a certain amount ili kuwekeza kwa pamoja.
Just get your facts right.
Mnatufanya wote hatujui uchumi eeh! Yaani mtu aje kwako, akushauri mjenge nyumba kiwanjani kwako, we ukope na ye akope halafu useme Hakuna hata mia ya mkopo wa aliyekuja kuungana nawe?? Yaani China anakupenda kuliko unavyojipenda?Unaonekana haujui kitu, Bandari ya Bagamoyo ni mradi ambao sio wa mkopo na unajengwa kwa kutumia joint venture (JV) kati ya kampuni ya Bandari ya China (China Harbors) na Kampuni itakayoundwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).
Mkopo anachukua China Harbors kutoka Saudi Arabia nasi tutatoa pesa kuchangia kwenye project kama sehemu ya share so hapo hakuna mkopo kutoka China pekee Bali nasi tutahitajika kukopa pesa ya kutumbukiza kama mchango wa capital ya project.
So muwe Makini kupitia hii miradi sio kuja kuropoka mitandaoni bila kujua ukweli ulivyo, hakuna mkopo hata shilingi moja kutoka China zaidi ya kwamba tunaweka shares zetu kwenye huo mradi. Huu sio mradi wa serikali ya TZ pekee, ni JV kila upande unatakiwa kutoa a certain amount ili kuwekeza kwa pamoja.
Just get your facts right.
Hata ningesema 'mimi sina shida', kwa hulka yako hii ungesema sipaswi kuchangia chochote nikae kimyaKama huna shida subiri tu ijengwe, mjadala wa nini na huna shida hata kama unapelekwa chaka? Ukipelekwa chaka kwako ni sawa, usipopelekwa kwako ni sawa sasa unataka mjadala wa kazi gani?
Halafu usipende kusema sisi sema mimi mtanzania sina shida.