samaki wa mbao
Member
- Apr 15, 2021
- 81
- 124
Unafikiri hawajui basi Mkuu? Ni chuki zimewazidia mpaka wanashindwa kujizuia na kuzionyesha hadharaniKule Bagamoyo hakuna kukopeshana, kule kuna uwekezaji wa pamoja.
Wewe haya umeyapata wapi wakati Serikali imesema hakuna mkataba wowote katika ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo na sasa ndiyo yanafanyika mazungumzo.Unaonekana haujui kitu, Bandari ya Bagamoyo ni mradi ambao sio wa mkopo na unajengwa kwa kutumia joint venture (JV) kati ya kampuni ya Bandari ya China (China Harbors) na Kampuni itakayoundwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).
Mkopo anachukua China Harbors kutoka Saudi Arabia nasi tutatoa pesa kuchangia kwenye project kama sehemu ya share so hapo hakuna mkopo kutoka China pekee Bali nasi tutahitajika kukopa pesa ya kutumbukiza kama mchango wa capital ya project.
So muwe Makini kupitia hii miradi sio kuja kuropoka mitandaoni bila kujua ukweli ulivyo, hakuna mkopo hata shilingi moja kutoka China zaidi ya kwamba tunaweka shares zetu kwenye huo mradi. Huu sio mradi wa serikali ya TZ pekee, ni JV kila upande unatakiwa kutoa a certain amount ili kuwekeza kwa pamoja.
Just get your facts right.
Kibajaji hawezi jadili? Basi tumpe mkataba Aeshi wa sumbawanga audadavue kwa kinaBungeni atajadili nani?
Babu Tale!!!!
.Bungeni atajadili nani?
Babu Tale!!!!
Hahahahaha huyo jamaa ni muongo sana na utakuta ndo yupo kwenye team inayomshauri SSH anasema hakuna mkopo hapohapo anasema china itakopa kutoka uarabuni kama China inakopa sisi makapuku tunatoa api hela?! Nyie MACCM mtaua wapiga kura wenu mlitunganya hivihivi kwenye gesi ya mtwara kwamba umeme utapatikana wa uhakika na bei nafuu na watu waliuwawa kisha kupinga huu upuuzi wakaonekana wahaini duh! Wewe kikwete wewe gesi yetu ulimpaa mchina na umerudi tena kwenye bandari ya bagamoyo!?My friend you are totally misleading your people.
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Jk hapa anahusika alishindwa yeye kuusaini akamuachia JPM ,JPM nae akauponda bila hata ya kutuambia faida zake then hakuusaini sasa JK karudi tena na team yake wanamtega Mama aingie kichwakichwa but Mama she is her smart hawataamini maana kauweka mezani wanaujadili kisha watauweka wazi kwa jamii(I hope so)kitu ambacho JPM hakufanya zaidi ya kuuponda..Where are the facts. Unless you download the agreement for us to read and understand we can not agree with what you are talking about. We are already confused. CCM ni janga maana Marehemu ni wa CCM mama ni wa CCM. Kwa nini wanatuchanganya. Ingekuwa Mama ni wa chama kingine tungeelewa lakini ninyi kwa ninyi kwa nini kuwe na kujichanganya. Sisi wananchi tumwami nani. Marehemu au Mama. Haya maamuzi yenu huko mbele will cost us dearly. Ninawahurumia sana wajukuu zetu maana watakuja kusema baba zetu walikuwa watu wa jinsi gani. If we can not have visionary leaders one day we may find our self stuck as a nation but I am not praying for that.
Acha ufyatu...hatuzungumzii mkataba wa ujenzi bali ule wa uendeshaji na vipengele vya masharti ya uendeshaji huo.Unaonekana haujui kitu, Bandari ya Bagamoyo ni mradi ambao sio wa mkopo na unajengwa kwa kutumia joint venture (JV) kati ya kampuni ya Bandari ya China (China Harbors) na Kampuni itakayoundwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).
Mkopo anachukua China Harbors kutoka Saudi Arabia nasi tutatoa pesa kuchangia kwenye project kama sehemu ya share so hapo hakuna mkopo kutoka China pekee Bali nasi tutahitajika kukopa pesa ya kutumbukiza kama mchango wa capital ya project.
So muwe Makini kupitia hii miradi sio kuja kuropoka mitandaoni bila kujua ukweli ulivyo, hakuna mkopo hata shilingi moja kutoka China zaidi ya kwamba tunaweka shares zetu kwenye huo mradi. Huu sio mradi wa serikali ya TZ pekee, ni JV kila upande unatakiwa kutoa a certain amount ili kuwekeza kwa pamoja.
Just get your facts right.
Wabunge hawana uwezo wa kujadili mikatabaKipindi fulani Wachina walilalamika hizo ni propaganda za USA,juzi ilikiwa Zambia uwanja wa ndege, jana Kenya mradi wa treni yao leo Uganda uwanja wa Entebbe, bila shaka kuna kitu Wachina wanatuficha kwenye maswala ya uwekezaji wao na Afrika wamepatolea macho.
Hii mikataba iwekwe wazi bungeni waijadili au kuwe na jopo la wanasheria waidiscuss then watudadavulie faida ni zipi na hasara ni zipi.
Wabunge sawa ila wanasheria wanashindwa vp?Wabunge hawana uwezo wa kujadili mikataba
Hata hao wanasheria
Mikataba yote tunayoilalamikia wahusika ni wanasheria, wanasiasa huwa wanaipitia tu kuona kama kuna la kushauriWabunge sawa ila wanasheria wanashindwa vp?
Naona kama umewatukana wanasheria, ina maana wote kazi bure, so kuna haja ya kutumia wanasheria wa nje watudadavulie si una manisha hivyo?
Kwa hiyo inabidi tuanze kuwatumia wa nje?Mikataba yote tunayoilalamikia wahusika ni wanasheria, wanasiasa huwa wanaipitia tu kuona kama kuna la kushauri
Kule Bagamoyo hakuna kukopeshana, kule kuna uwekezaji wa pamoja.